Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

Kujiuzulu sio tatizo , tatizo ni gharama za uchaguzi kinondoni imegharimu maisha ya binti mwanafunzi wa chuo kikuu. Ushindi apewe anayemfuata itakua safi sana
kaka ume confuse..hizi sio gharama za uchaguzi..zinaitwa gharama za demokrasia makini..lakini si ndipo tulipochagua...au wewe mzee hupendi demokrasia
 
Hatuhitaji upinzani Tanzania.Tanzania ni nchi ya chama kimoja tu.
 
ACT hapana.Bora CCM ibaki peke yake
Watanzania mna nini na kigoma, maendeleo kuanzia nyerere hadi mkapa, waliitupa sana kigoma, afadhali ya kikwete alitengeneza barabara na kuofungua kigoma, sasa yena imewekwa chonjo, nawewe hata hutaki kisikia mwaana wakiha anastaholi kuwa kiongizi
 
Ubanikwe na bwana ukigombea ubunge tena wallah magu utakuwa na pancha sehemu
 
Juzi kati yule mkuu wa taasisi inayosimamia vyama hapa nyumbani alisema muda wa "umalaya malaya "unaendelea mpaka mwezi wa tisa mwakani. Nadhani baba yeyoo kaona asichelewe sana.

Yafaa mnunuzi angefanya window shoping kwanza achague mali zote anazotaka na akirudi aje na kikapu achukue vitu vyake vyote maramoja na hii itapunguza usumbufu wa mara kwa mara
 
Watanzania mna nini na kigoma, maendeleo kuanzia nyerere hadi mkapa, waliitupa sana kigoma, afadhali ya kikwete alitengeneza barabara na kuofungua kigoma, sasa yena imewekwa chonjo, nawewe hata hutaki kisikia mwaana wakiha anastaholi kuwa kiongizi
Labda CUF ya Lipumba
 
Binafc mm c mtabiri ila naona kuna kila dalili mzee lowassa naye huyoo ccm.nadiriki kubashiri hili kwa 7bu zfuatazo;1.kikao cha siri ikulu huwenda 2020 akaachiwa nchi na magufuli.2.kuhama kwa wabunge Wa ukonga,Serengeti,cmanjiro ,monduli na wengineo,ambao walikuja cdm na upepo wake.3.kumzuia Fred lowassa kugombea ubunge monduli ktk uchaguzi mdogo.pia ikumbukwe jems milya alikuwa katibu Wa lowassa akaja chadema na kuhama ccm kwa mpango maalumu na Leo hii anarudi ccm kwa mpango maalumu.nadiriki kueleza haya kwa 7bu ya uzalendo nilio nao ingawa najua itanigharimu.ila no bora nifukuzwe chama au nice nikiwa nimeshaventy,kuliko nife na yoga Wa kucema mile ninachokiamini kutokea mbele yangu.mwenye kuweza kutunza kumbukumbu na atunze post yangu hii.ah
 
Please do research utabaini wabunge wrote wanaohama no wale tu waliokuja kwa mpango maalum from ccm
 
Sawa ikiwa itatokea hivyo itakusaidia nini wewe na ndugu zako wakulima ambao mazao yao kama mahindi gunia kwa sasa ni shs chini ya elfu 20 ukizingatia tukiwa na bunge la chama kimoja ndio itakuwa balaa.Itakuwa hivi alie masikini atakuwa masikini zaidi kwa sababu hakuna mkakati unaoleweka wa kumkomboa mtanzania toka kwenye umasikini,

Mm ni CCM 10000% umenielewa? ww bado kinda humu
 
Kwa nchi za kiafrika zinaendeshwa kidictaror hususani hii yetu, kukuta wagombea wa chama cha rais kutangazwa kuwa washindi haishangazi. Hilo la wagombea wa ccm kushinda kwa amri ya rais sio geni kwani hizo ndio hulka ya nchi zinaendeshwa kidictator. Ila ngoma iko kwenye maneno ya katibu mkuu wa ccm kuwa watu hawana imani na mfumo wa upigaji kura. Sasa kama katibu mkuu wa chama kinachoshinda anakiri hadharani kuwa wananhi wamepuuza upigaji kura utashangaa nini wafanya hujuma kwa amri ya rais kutangazwa washindi. Hiyo 2020 wapiga kura watakuwa wachache sana kwani wameshampuuza rais na mwenendo wake wa kutumia madaraka yake vibaya. Katibu mkuu wa ccm anasema wapiga kura wakiwa wachache kiongozi aliye madarakani hana uhalali.

Katibu wetu yuko sahihi, watu wengi wanajua ushindi ni wetu CCM, so wengi wanakwenda kujiandikisha ili tu kupata kitambusho cha mpiga kura ili imsaidie ktk mambo mbalimbali ya kimaisha..!! Kwani kakosea nn?
 
Labda CUF ya Lipumba
Alafu twasema haukuna ukanda ama ubaguzi, Tanzania itaokoka siku tukitoa kiongizi/Raisi kutoka Kigoma, Dodoma, Singida au Tanga, watu wa mikoa hiyo ndio wastaarabu zaidi, hawana ubaguzi, mambo yao shwari.
 
Tatizo ni kuwa ata Zitto nae ataunga mkono juhudi muda si mrefu.Alafu tutakuwa na bunge zima waunga mkono juhud.Hakuna wa kumtetea mlala hoi
 
Katibu wetu yuko sahihi, watu wengi wanajua ushindi ni wetu CCM, so wengi wanakwenda kujiandikisha ili tu kupata kitambusho cha mpiga kura ili imsaidie ktk mambo mbalimbali ya kimaisha..!! Kwani kakosea nn?
No kweli na ndio uhalisia,
 
Gharama zingine za uchaguzi bila sababu za maana. Haya tusubiri tuone!
 
Back
Top Bottom