Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

Binafc mm c mtabiri ila naona kuna kila dalili mzee lowassa naye huyoo ccm.nadiriki kubashiri hili kwa 7bu zfuatazo;1.kikao cha siri ikulu huwenda 2020 akaachiwa nchi na magufuli.2.kuhama kwa wabunge Wa ukonga,Serengeti,cmanjiro ,monduli na wengineo,ambao walikuja cdm na upepo wake.3.kumzuia Fred lowassa kugombea ubunge monduli ktk uchaguzi mdogo.pia ikumbukwe jems milya alikuwa katibu Wa lowassa akaja chadema na kuhama ccm kwa mpango maalumu na Leo hii anarudi ccm kwa mpango maalumu.nadiriki kueleza haya kwa 7bu ya uzalendo nilio nao ingawa najua itanigharimu.ila no bora nifukuzwe chama au nice nikiwa nimeshaventy,kuliko nife na yoga Wa kucema mile ninachokiamini kutokea mbele yangu.mwenye kuweza kutunza kumbukumbu na atunze post yangu hii.ah
Unaota mchana ndugu
 
Mungu ana makusudi na hii taifa ngoja tuone mwisho
Tatizo lipo kwenye katiba. Kama katiba ingetamka kuwa kama mbunge amefariki au kuhama chama chake basi yule aliekuwa wa pili baada ya kutangaza matokeo ndie atakuwa mbunge. Hapo tusingeona huu umalaya Malaya au upuuzi wa kuunga mkono. Nani angekubali kuacha posho zake?
 
Hakuna masai anaweza kudumu chama cha upinzania hawana misimamo ya kisiasa wanajali zaidi matumbo yao
 
KM MEYA TU WA IRINGA ALIPEWA MIL 200 UNAFIKIRI HAWA WABUNGE NI SH NGAPI? halafu umepewa mtonyo wa kutosha na unapotangaza kuhama tayari ww ni mbunge wa ccm ata usipofanya kampeni.
 
James Ole Millya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya chadema amejiuzulu ubunge na kukihama Chama hicho na kuomba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.
View attachment 889617View attachment 889618

Mnamo Agosti 4, mdau wa JF alidokeza kuwa Millya alikuwa na mpango wa kujiuzulu ubunge. Soma > Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa - JamiiForums
Kwa Ole Milya kujiuzulu uanachama na ubunge wa CHADEMA na kijiunga na sisiemu sasa nimeanza kushawishika kuamini kuwa mbali na kufika bei kama ilivyo zoeleka sasa,kuna lingine nyuma ya pazia.Ni vyema na ni busara sasa uongozi wa juu wa CHADEMA uukubali ukweli kuwa kuna shida kubwa ndani ya chama na waanze kuishughulikia wasingoje kifo kiwaumbue!!!!!!!!!!!!!
 
Hawa "mercenaries"ni wachumia tumbo hawajali madhila na shida wapiga kura tunazopitia,wameahidiwa kulipiwa madeni yao au kuwezeshwa kwenye maeneo fulani,uwezo wao wa kufikiri umefika mwisho,wanaomba wasaidiwe kufikiri na haya ndiyo majibu waliyopewa,miaka ya j.k. nchi ilitafunwa kisawasawa na safari zake za kutalii ughaibuni na msururu wa watu,sasa nchi inatafunwa na ununuzi wa wanasisa njaa na chaguzi ndogo zisizo chaguzi,waweza ziita maigizo,kweli mafunzo yote aliyotupa mwalimu Nyerere haya ndiyo tuliyojifunza,tumeishiwa hasa,muda ni mwalimu mzuri na wa haki,tungoje
 
Time is a good teacher kwa sasa upinzani inabidi iwaache wchumia tumbo wote waondoke ili mikakati madhubuti iapngwe
 
H
Kwa Ole Milya kujiuzulu uanachama na ubunge wa CHADEMA na kijiunga na sisiemu sasa nimeanza kushawishika kuamini kuwa mbali na kufika bei kama ilivyo zoeleka sasa,kuna lingine nyuma ya pazia.Ni vyema na ni busara sasa uongozi wa juu wa CHADEMA uukubali ukweli kuwa kuna shida kubwa ndani ya chama na waanze kuishughulikia wasingoje kifo kiwaumbue!!!!!!!!!!!!!
Hakuna kilichonyuma ya pazia do research from moleli,ryoba,millya na yule mbunge Wa monduli utagundua wore hawa ni wabunge waliokuja cdm kwa upepo Wa lowassa,cos wore agenda yao ni moja tu.but kinachoendelea nyuma ya pazia kitaidhalilisha ccm 2020 tuvute subra.that's wrottern deal.
 
Back
Top Bottom