Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

Hawa ndio aliosema Nyerere kuwa ni malaya wa kisiasa. Kinachoumiza hapo siyo kujiuzulu ni mabilioni ya pesa yanayopotea kwenye chaguzi za marudio wakati huduma za jamii kama maji, elimu na afya ziko duni sana! Inaonekanasiasa ndiyo kipaumbele kwa nchi hii
 
uhakika wa ubunge anao ata asipochaguliwa na wanainchi upo rushwa kapewa. anashida gani??

kwa akili hizi Tanzania kuendelea itachukua muda mrefu sana.
hahahahaha demokrasia ndio maendeleo yenyewe hahaha
 
Kwa hiyo baada ya July 2019 waunga juhidi watkuwa wamekwisha tayari.

Hivi ni kweli uchaguzi ulifanyika 2015 mbona miaka inaenda sana
Kabisa ikifika July 2019 atakayejiuzulu kwa kuunga juhudi itakuwa kweli imetoka moyoni kwa dhati ila hawa wa sasa ni "UMALAYAMALAYA" wa kisiasa Kununulika Wamefika BEI(Mwalimu J.K Nyerere).
 
Biashara inaendele!!

Wahame tu ila wananchi tuko na CHADEMA/upinzani maaana CCM na Magufuli hawana msaada kwetu.

Waendelee kuwalipia madeni na mikopo.
Wanaendelea kutia hasara taifa. Umebaki mwaka mmoja na miezi michache kabla hawajafanya uchaguzi mkuu, kwa nini wasimalizie miezi hii michache?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…