Upinzani hauishi Mkuu ila malaya wa kisiasa ndio wanaisha,tena upinzani ndio unazidi kukua maana hawa Malaya wa kisiasa wanazidi kuimalisha upinzani kwahiyo wapinzani wanazidi kuwa makini next time kupokea watu kutoka CCM.Hadi july ije ifike upinzani si watakuwa wameshaisha?
Ahame tu,James Ole Millya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya chadema amejiuzulu ubunge na kukihama Chama hicho na kuomba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi. View attachment 889617View attachment 889618
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/390/390326.jpg?1515158463[/IMG]James Ole Millya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya chadema amejiuzulu ubunge na kukihama Chama hicho na kuomba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi. View attachment 889617View attachment 889618
Hiyo fedha ni Dirty Money kama zile za madawa ya kulevya haziachagi tracks na hauwezi kuiona au umesahau jamaa aliyekamatwa na mil700 kwenye mabegi dodoma?Kwani bei inayozungumzwa ni sh ngapi afu hizo fedha wanapitishia benki au wanapewa kwenye masandarusi
Yeah!Ilikuwa inajulikana lilikuwa ni swala la muda tuu
Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa - JamiiForums
hahahaahha na wale wapiga ubwabwa nao wasiachwe wahamie piaChikichi chikichi chikichi eeee eeeh chikichi chikichi eeeeeeeeh
Nafasi ya 10 toka umasikini dunia imeletwa na ccm sio jukwaa la CHADEMA,ulikuja uchi umerudi uchi tukiwa nafasi ileile ya 10 kwa umasikini duniani,Hivyo Ole Millia na wewe ni maajabu kama maajabu mengine yote ya kufungia Tv na Magezeti nchini ili kujifanya mnakubalika kumbe ni aibu ya kung'ang'aniw nafasi ya 10 toka mkiani tokiea uhuru.James Ole Millya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya chadema amejiuzulu ubunge na kukihama Chama hicho na kuomba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi. View attachment 889617View attachment 889618
Mbona Kisugar Sana MkuuBiashara inaendele!!
Wahame tu ila wananchi tuko na CHADEMA/upinzani maaana CCM na Magufuli hawana msaada kwetu.
Maisha ya mtanzania sio ndege, flyover, Chato Airport, banadari ya Chato, n.k bali ni bei nzuri ya mazao ya wakulima, ajira, mishahara bora kwa watumishi, uhuru wa maoni, mikopo elimu ya juu bila ubaguzi, elimu bora ni si bora elimu, n.k.
Maisha ya mtanzania ni watoto kutokusoma shule za nyasi na kukaa kwenye vumbi, watanzania kuto-share maji na mifugo,bei za bidhaa kupanda, n.k.
Watanzania hatutaki kiongozi asietaka kukosolewa, anaetuletea sheria za kutuziba midomo mfano sheria ya takwimu, kiongozi asiethamini demokrasia na asieheshimu maamuzi ya wapiga kura.kiongozi anaevunja katiba na sheria za nchi tena wazi wazi.
Watanzania hatuhitaji mtu asie na kauli za staha ambae anaweza kuongeoa lolote na mahali popote.
Waendelee kuwalipia madeni na mikopo kama inavyodaiwa ila wasitake kutuhadaa kisa matumbo yao.
Pathetic creatures!.
Hahaha.. Acha Demokrasia Itamalaki MkuuWahame wote, wachumia tumbo hao wanaoletea hasara taifa!
Ifike mahala ccm nao wajitafakari,,