Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

Kwa anavyochukiwa Simanjiro mpaka na mbuzi basi CCM itajenga uadui mkubwa sana wakimrudisha.
 
Barua hii ndo inabeba maudhui yote ya yanayoendelea kule nyumba ya pili ambayo kila siku ina badilisha rangi ya ukuta wake.

Kwa werevu hawata ipinga hii barua . Lakini wata I support kwa kuiongezea maarifa maana imebeba ujumbe muhimu zaidi ya yote , ya kinacho endelea pale mtaa wa pili .
 
Mwingine ameunga juhudi
IMG-20181007-WA0007.jpeg
IMG-20181007-WA0006.jpeg
 
Biashara inaendele!!

Wahame tu ila wananchi tuko na CHADEMA/upinzani maaana CCM na Magufuli hawana msaada kwetu.

Maisha ya mtanzania sio ndege, flyover, Chato Airport, banadari ya Chato, n.k bali ni bei nzuri ya mazao ya wakulima, ajira, mishahara bora kwa watumishi, uhuru wa maoni, mikopo elimu ya juu bila ubaguzi, elimu bora ni si bora elimu, kodi rafiki kwa wafanyabiashara, n.k

Maisha ya mtanzania ni watoto kutokusoma shule za nyasi na kukaa kwenye vumbi, watanzania kuto-share maji na mifugo,bei za bidhaa kupanda, watanzania kutopoteza ajira kwasababu biashara zinakufa na makampuni kufungwa au kuyumba, n.k

Watanzania hatutaki mtu asietaka kukosolewa, anaetuletea sheria za kutuziba midomo mfano sheria ya takwimu, kiongozi asiethamini demokrasia na asieheshimu maamuzi ya wapiga kura.kiongozi anaevunja katiba na sheria za nchi tena wazi wazi.

Watanzania hatuhitaji mtu asie na kauli za staha ambae anaweza kuongeoa lolote na mahali popote.

Waendelee kuwalipia madeni na mikopo kama inavyodaiwa ila wasitake kutuhadaa kisa matumbo yao.

Never ever hatutadanganyika na haya maigizo yenu na huyo mnaemsujudia.

Kibaya zaidi hakuna mnachoahivu, sana sana mnazidi kuiogopa CHADEMA na kuona sanduku la kura kama mtihani uliowashinda katika maisha yenu.

Poor you!
Sema "mwananchi niko na Chadema." Kama hii hama hama haiwasumbui wahusika wakuu, wenye Chama, akina Mbowe, kwanini mwananchi wa kawaida mtaani asumbuke?

Kama alivyosema Dkt Bana, kuna tatizo ndani ya Chadema lakini viongozi na wafuasi mnajifanya kila kitu kipo shwari.

So, can you guys tell us WHO IS NEXT? [emoji3]
 
Upinzani imara upo wapi sasa hapa TZ?,au nawe una himaya yako yenye vyama vya upinzani imara?
Mtu kua upinzani ni itikadi kwaiyo kama ambavyo hao wanaoondoka walivyoingia ndivyo ambavyo pia wataingia wengine ni swala la muda tu.
 
Duuhh, ehhh Mola wangu unyooshe mkono wako mzuri ufike hadi kijijini kwangu Mikumi, waja wako tupo tunasubiri kusikia habari hizi njema..!
 
Kudadadeki...at nini? Maweeeeeeee.....Kesho narudi Ccm kama waliotuleta huku wanaondoka sisi tunabaki kufanya nini? Juzi nimeongea hii issue na Nasari akasema ni propaganda
 
Watu wanakimbizana na deadline ... Ha ha ha ha ha haaaaaa ... !!!

July kesho kutwa tu hapa asubiri nini sasa maana JIWE halikawii kubadilika wakatangaza mwisho mwezi huu ...

Ha ha ha ha haaaaa ama kweli adui yako muombee njaa ...
 
Na bado,tuone kiburi cha Mbowe kuatamia ruzuku,maana ndio inayompa kiburi
Kwa hiyo kodi zetu Zinateketezwa kisa kumkomoa Mbowe? Kweli Trump hajakosea

American President - Donald Trump explains his statement against Africans:

"If after 50 years of independence you have not built the necessary infrastructure for your people, are you humans?

"If you sit on gold, diamond, oil, manganese, uranium... and your people don't have food, are you humans?

"If to stay in power, you buy weapons from strangers to kill your own citizens, are you humans?

"If your only social project is to stay in power for life, are you being human?

"If you despise and shoot your own citizens like game, who will respect them?"


"if you take all resources meant for development of your country for personal property are you humans?

" if you leave your country healthcare unattended and treat yourself abroad are you humans?

"Until your leaders think less of themselves and more about your people. You are not human but animal.

👍🏿Think about this ccm
 
kinachonitisha wote lazima walitaje jina la jiwe
someni historia ya madikteta wote wanapenda na wengine wanalazimisha kutukuzwa majina yao
 
Back
Top Bottom