Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

Kwa hiyo kodi zetu Zinateketezwa kisa kumkomoa Mbowe? Kweli Trump hajakosea

American President - Donald Trump explains his statement against Africans:

"If after 50 years of independence you have not built the necessary infrastructure for your people, are you humans?

"If you sit on gold, diamond, oil, manganese, uranium... and your people don't have food, are you humans?

"If to stay in power, you buy weapons from strangers to kill your own citizens, are you humans?

"If your only social project is to stay in power for life, are you being human?

"If you despise and shoot your own citizens like game, who will respect them?"


"if you take all resources meant for development of your country for personal property are you humans?

" if you leave your country healthcare unattended and treat yourself abroad are you humans?

"Until your leaders think less of themselves and more about your people. You are not human but animal.

[emoji1531]Think about this ccm
Dawa ya jeuri ni kiburi,uwe mpole na Trump wako
 
Hivi yule meya wa huko Dar aliyesema akihama Millya naye anahama, vipi ameshahama tayari!?
 
Biashara inaendele!!

Wahame tu ila wananchi tuko na CHADEMA/upinzani maaana CCM na Magufuli hawana msaada kwetu.

Maisha ya mtanzania sio ndege, flyover, Chato Airport, banadari ya Chato, n.k, bali ni pamoja na bei nzuri ya mazao ya wakulima, ajira, mishahara na masilahi bora kwa watumishi, uhuru wa maoni, mikopo elimu ya juu bila ubaguzi, elimu bora ni si bora elimu, kodi rafiki kwa wafanyabiashara, n.k.

Maisha ya mtanzania ni watoto kutokusoma shule za nyasi na kukaa kwenye vumbi, watanzania kuto-share maji na mifugo,bei za bidhaa kutopanda, watanzania kutopoteza ajira kwasababu biashara zinakufa na makampuni kufungwa au kuyumba, n.k.

Watanzania hatutaki mtu asietaka kukosolewa, anaetuletea sheria za kutuziba midomo mfano sheria ya takwimu, kiongozi asiethamini demokrasia na asieheshimu maamuzi ya wapiga kura.kiongozi anaevunja katiba na sheria za nchi tena wazi wazi.

Watanzania hatuhitaji mtu asie na kauli za staha ambae anaweza kuongeoa lolote na mahali popote.

Waendelee kuwalipia madeni na mikopo kama inavyodaiwa ila wasitake kutuhadaa kisa matumbo yao.

Never ever hatutadanganyika na haya maigizo yenu na huyo mnaemsujudia.

Kibaya zaidi hakuna mnachoahivu, sana sana mnazidi kuiogopa CHADEMA na kuona sanduku la kura kama mtihani uliowashinda katika maisha yenu.

CCM hii ni ndoto kubadili maisha ya watanzania kwani miundombinu pekee sio muarobaini wa unafuu wa maisha ya mtanzania.

Hakuna nchi ilioendelea kwa wabunge au madiwani kujiuzulu na kumuunga mkono Raisi alie madarakani.Hakuna.

Mnatutia aibu watanzania!

Poor you!
Nilikuwa nahisi hivyo au tuseme bado nahisi kuna wengine wamepewa kitu lakini nadhani kuna mambo nyuma ya pazia wote CCM na CDM hamtaki kusema hii siyo kawaida. Siasa za Bongo ni za kipekee. Siyo kwa mwendo huu.
 
Biashara inaendele!!

Wahame tu ila wananchi tuko na CHADEMA/upinzani maaana CCM na Magufuli hawana msaada kwetu.

Maisha ya mtanzania sio ndege, flyover, Chato Airport, banadari ya Chato, n.k, bali ni pamoja na bei nzuri ya mazao ya wakulima, ajira, mishahara na masilahi bora kwa watumishi, uhuru wa maoni, mikopo elimu ya juu bila ubaguzi, elimu bora ni si bora elimu, kodi rafiki kwa wafanyabiashara, n.k.

Maisha ya mtanzania ni watoto kutokusoma shule za nyasi na kukaa kwenye vumbi, watanzania kuto-share maji na mifugo,bei za bidhaa kutopanda, watanzania kutopoteza ajira kwasababu biashara zinakufa na makampuni kufungwa au kuyumba, n.k.

Watanzania hatutaki mtu asietaka kukosolewa, anaetuletea sheria za kutuziba midomo mfano sheria ya takwimu, kiongozi asiethamini demokrasia na asieheshimu maamuzi ya wapiga kura.kiongozi anaevunja katiba na sheria za nchi tena wazi wazi.

Watanzania hatuhitaji mtu asie na kauli za staha ambae anaweza kuongeoa lolote na mahali popote.

Waendelee kuwalipia madeni na mikopo kama inavyodaiwa ila wasitake kutuhadaa kisa matumbo yao.

Never ever hatutadanganyika na haya maigizo yenu na huyo mnaemsujudia.

Kibaya zaidi hakuna mnachoahivu, sana sana mnazidi kuiogopa CHADEMA na kuona sanduku la kura kama mtihani uliowashinda katika maisha yenu.

CCM hii ni ndoto kubadili maisha ya watanzania kwani miundombinu pekee sio muarobaini wa unafuu wa maisha ya mtanzania.

Hakuna nchi ilioendelea kwa wabunge au madiwani kujiuzulu na kumuunga mkono Raisi alie madarakani.Hakuna.

Mnatutia aibu watanzania!

Poor you!
Utanyooka tu wewe utabaki mwenyewe na Mbowe nasikia Lowassa na Sumaye wanamalizia kazi warudi nyumbani...!!
 
Ni haki yake kuhamia anapotaka. Anasema aliacha siasa za majukwaani kwa miaka hii mitatu (alikimbia majukumu ya kuwawakilisha wananchi). Ni vyema amejiuzulu kwa kuwa ni wazi kuwa tangu awali alikimbilia Chadema kutafuta fursa na siyo kuwatumikia wananchi.

Amechelewa sana kuelewa kuwa huku Chadema ni kugumu mno na waliopo ni wale waliojitoa kuifanya kazi ngumu (ya kuweka misingi mipya) ambayo yeye hana huo utayari.

Badala ya kumlaumu nadhani ni vyema kumpongeza kwa kujitambua kuwa aliwapotezea wananchi fursa za kupata maendeleo waliyoyatamani tangu mwanzo. Aombe tu msamaha kwa kuwapotezea wananchi waliompa dhamana muda wa miaka mitatu.
 
Ccm wamejipanga kila baada ya miezi 3 kunakuwa na uchaguzi mdogo ambao unahusisha chaguzi za wabunge kwenye majimbo 2 au 3. Ukiangalia sana huo ndio ukweli. Sikilizia chaguzi ijayo, huyo ni wa kwanza bado 2 kwa uchaguzi wa desemba
 
kinachonitisha wote lazima walitaje jina la jiwe
someni historia ya madikteta wote wanapenda na wengine wanalazimisha kutukuzwa majina yao
Kiongizi wa kuchaguliwa akikubali kununuliwa kwa pesa na siyo kwa kura, ni wazi akipewa madaraka makubwa atanunuliwa tena. Moja kwa moja kiongozi wa aina hiyo ni
Fisadi Papa , na chama chake cha siasa akifai kuaminiwa
 
Kudadadeki...at nini? Maweeeeeeee.....Kesho narudi Ccm kama waliotuleta huku wanaondoka sisi tunabaki kufanya nini? Juzi nimeongea hii issue na Nasari akasema ni propaganda
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu, na ni mfu anayemtegemea mwanasiasa hata kuwaza kwake!
 
Ni kweli mkuu, acha niwe kondoo .Nyie endeleeni na hiyo project ya kukaa madarakani milele huku hospitalini kukiwa hakuna dawa na foleni dar ikiwa ndo maendeleo
Nani awakabidhi nchi ikiwa hata ofisi ya makao makuu inawashinda ,chama kikuu cha upinzani kimepangishwa kwenye pagala la mwenyekiti wenu toka kimeanzishwa,mikoani kimepangishwa kwenye nyumba za wachaga,hii ni tope
 
Wahame au wasihame shauri yao maisha ni yale yale
 
Back
Top Bottom