Pole sana mkuu mpaka mwenyekiti pia yumo kwenye mapatano ya bei!Hii biashara haiwasaidi lakini kwa aibu hawawezi kuiacha maana watachekwa (wataulizwa imeleta tija gani) hivyo watajitutumua tu kuendelea nayo kuliko ku-surrender.
Hiyo kodi inayopotea wewe haikuhusu?Pole sana mkuu mpaka mwenyekiti pia yumo kwenye mapatano ya bei!
Kwahiyo chadema inafanya biashara na ccm?Hii biashara haiwasaidi lakini kwa aibu hawawezi kuiacha maana watachekwa (wataulizwa imeleta tija gani) hivyo watajitutumua tu kuendelea nayo kuliko ku-surrender.
Wakihama baada ya muda inakuwa sio habari tena hivyo wanampanga mwingine ili wabunge kuhama CHADEMA iwe ndio habari ya kila siku.Hivi si wahame wote kwa pamoja tu apo manake tumeshachoka na drama as uhamaji
Wanatuchosha basi tuWakihama baada ya muda inakuwa sio habari tena hivyo wanampanga mwingine ili wabunge kuhama CHADEMA iwe ndio habari.