Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananunulika kama machanguila hawa wanasiasa wametudharau sana sisi wananchi
Mbona mbowe kafanya biashara na lowassa hatukuona mapovuHii biashara haiwasaidi lakini kwa aibu hawawezi kuiacha maana watachekwa (wataulizwa imeleta tija gani) hivyo watajitutumua tu kuendelea nayo kuliko ku-surrender.
Eti hawa ndio watu wa kuipeleka Tanzania kufikia katika uchumi wa kati!!
Wabongo mtasubiri sana!!
Hana ushawishi wowote kihivyo.Hata Lema mwenyewe mwisho wake ni ArushaMbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa za kanda hiyo.
=======
Au eti hata wakiondoka wote chama hakitatetereka. Duh.Baada ya kuhamia CCM utasikia majibu ya upande wa pili kuwa 'hata hivyo tulikuwa mbioni kumsimamisha na kumfukuza kabisa uanachama kwa tuhuma kadha wa kadha'.
Karibu nyumbani Ole Millya. Heko CCm, heko JPM.Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa za kanda hiyo.
=======
Umeongea hoja nzuri.Hilo ni funzo,msiaapokee watu kabla ya kuwachuja hasa wanaotoka ccm
Hata angebaki Bi Mtulia Sikion haina shida.hadi raha, hao wapinzani inabidi waitishe semina na vikao vya kufundana make bika hivyo yale mabenchi ya upinzani pale bungeni atabaki tu Tundulissu.
Hii biashara haiwasaidi lakini kwa aibu hawawezi kuiacha maana watachekwa (wataulizwa imeleta tija gani) hivyo watajitutumua tu kuendelea nayo kuliko ku-surrender.
Eti hawa ndio watu wa kuipeleka Tanzania kufikia katika uchumi wa kati!!
Wabongo mtasubiri sana!!
kifo cha upinzani ni janga kwa watanzania wote. ndio maana yule mzee wa mwitongo alikubali kura 20% zishinde dhidi ya 80% kwa sababu maendeleo chanya yanaletwa nguvu mbili zinazokizana.
''AKITUMALIZA SISI ATAANZA NA NYIE'' TUNDU LISU
CHADEMA wanastahili hilo PIGO maana waliwatoza wafiwa chama waliokijenga chama na kuwakumbatia walioikimbia CCM kwa wakati ule ingala hata itikadi ya CHADEMA hao wakuja walikuwa hawaifahamu. Sasa waliooneka mtaji wanaondosha uwekezaji waoMbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa za kanda hiyo.
=======
Upinzani wa kuabudu wazungu ,kupinga maendeleo na kutukana viongozi wetu bora ufe tu.Upinzan wenye mizania ndio afya kwa nchi yenye demokrasia lkn upinzan ukifa hakika tutakimbia hapa! Tusifurahie sana kufa kwa upinzan Tanzania
Kinachokufa si upinzani bali CDM ndio inayokufa, kama ilivyokufa NCCR ikaja CUF, CUF ikafa pia ikaja CDM na sasa CDM pia ndio inaondoka hivi.....Upinzan wenye mizania ndio afya kwa nchi yenye demokrasia lkn upinzan ukifa hakika tutakimbia hapa! Tusifurahie sana kufa kwa upinzan Tanzania