Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

I hope watakuwa wamemaliza mzozo wao na Ole Sendeka.
 
ZAMANI WAKURYA NA WAMASAI WALIKUA NA MSIMAMO KWELIKWELI...SIKU HIZI🎤🎶🎶
 
Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa za kanda hiyo.

=======
Slave trade
 
Baada ya kuhamia CCM utasikia majibu ya upande wa pili kuwa 'hata hivyo tulikuwa mbioni kumsimamisha na kumfukuza kabisa uanachama kwa tuhuma kadha wa kadha'.
wewe unafaidika na kitu gani kama siyo uzwazwa?
 
Huyu nilishamhisi na kumtaja siku nyingi. Washauri wa UKUTA wa Mererani. Aende zake, alisaidiwa alivyozidiwa na Ole Sendeka, sasa ameshiba! Kila la kheri kama anayo huo mpango tunaouhisi kwa matendo yake. Kama hana, utasamehe bure maana wenzake wametukera sana
Umesema ukweli mkuu anayejisikia kufuata maisha ya mtelezo aende huko ccm maana kuutafuta ukombozi ni kazi ngumu inayohitaji moyo
 
hadi raha, hao wapinzani inabidi waitishe semina na vikao vya kufundana make bika hivyo yale mabenchi ya upinzani pale bungeni atabaki tu Tundulissu.
Ina maana baada ya kushindwa kumshawishi aje kwenu ndio maana mkamtafutia wasiyo julikana hadi sasa wamuondoe dunuani?
 
kifo cha upinzani ni janga kwa watanzania wote. ndio maana yule mzee wa mwitongo alikubali kura 20% zishinde dhidi ya 80% kwa sababu maendeleo chanya yanaletwa nguvu mbili zinazokizana.
''AKITUMALIZA SISI ATAANZA NA NYIE'' TUNDU LISU
Mungu ambariki Tundu Lissu arudi nchini ili aone utabiri wake
 
Ila mwisho wa siku wataishia kuiba kura na kupora ushindi, just waste of resources.

Ila nazani imeoneka ndio njia rahisi ya kula hela ya sizonje, maana inaonekana njia nyingine does not work.

Jinsi umavyotumia nguvu nyingi kuubomoa upinzani fahamu ndio unaujenga upinzani kwa nguvu hiyo hiyo, ni simple logic tu, maana watu wanaona uonevu unaoufanya.
 
Baada ya kuhamia CCM utasikia majibu ya upande wa pili kuwa 'hata hivyo tulikuwa mbioni kumsimamisha na kumfukuza kabisa uanachama kwa tuhuma kadha wa kadha'.
Hapana wala hawatoagi hizo sababu. Siku hizi wanamwombea HERI huko aendapp basi. Kama ujuavyo mwenye kushika mpini hakosi kukukata.
 
Swali la wapi ruzuku ya chama inaenda limekuwa gumu sana kwa mbowe .

Yupo tayari atumie mwezi mzima kuwaelezea bavicha namna ccm inavyonunua watu badala ya kutumia dakika moja kueleza kwa nini ruzuku ya chama haifiki wilayani.
Tangu alipo kuzalisha na kukutelekeza ndio imekuwa chuki mtindo mmoja?
 
Back
Top Bottom