Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Wakisema kwani kuna tatizoBaada ya kuhamia CCM utasikia majibu ya upande wa pili kuwa 'hata hivyo tulikuwa mbioni kumsimamisha na kumfukuza kabisa uanachama kwa tuhuma kadha wa kadha'.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakisema kwani kuna tatizoBaada ya kuhamia CCM utasikia majibu ya upande wa pili kuwa 'hata hivyo tulikuwa mbioni kumsimamisha na kumfukuza kabisa uanachama kwa tuhuma kadha wa kadha'.
Mbona wewe unajiuza na hakuna mtu wa kufika bei?Tangu Mbowe auze chama kwa CCM 2015, kila mtu CHADEMA ananunulika tu!
wanachama wengi wameanza kujitambua.
Msema kweriiiii mpenzi wa munguBiashara nzuri sana hyo
Hicho Kiwanda nimekivulia kofia kwenye awamu hii
Ova
Mfuate huyo slaa wako sisi kwetu ni sawa na busatiUmeongea hoja nzuri.
Tatizo ni kutopokea ushauri.
Dr. Slaa aliuliza kama hawa watu ni asset au liability.
Kabla hajajibiwa kastukia washapewa nafasi za ugombea kuwakilisha chama kwenye uchaguzi mkuu.
Utakufa wewe kenge na cdm itadumu mileleUpinzani wa kuabudu wazungu ,kupinga maendeleo na kutukana viongozi wetu bora ufe tu.
Wewe una akili gani wakati unaburuzwa kama punda au mbuzi kupelekwa malishoni?Ole Milya na yule Mbunge wa Monduli ni vijana wa Lowasa, wote kuondoka ndani ya muda wa wiki moja ni meseji tosha nini kinafuata kuhusu Lowasa. CDM walifanya kosa kubwa sana 2015 kumpa Lowasa kijiti mbaya zaidi ni kama wamechanganyikiwa hawana akili wala uwezo wa kuonyesha nini cha kufanya.
Magu amedhamiria kuidondosha CDM, na kweli inaenda kudondoka, wote ambao walikuwa wana akili au uwezo wa kuisaidia CDM walishafukuzwa au kuwekwa pembeni. Mnyika na kina Prof Baregu ni wazi wamemsusia Mbowe azame na “jahazi” lake. Nimeikumbuka ile cream ya CDM ikiongozwa na Dr Slaa, Zitto na Mnyika. Nyuma ya pazia kukiwa na wana mikakati kama Prof Baregu na Prof Mkumbo. Hii ndio cream iliyoipaisha CDM, Wote hao hawapo CDM saivi au wameamua kuwa viongozi wafu, CDM jahazi linazama.
Mwisho na muhimu, nyumbxxx wa CDM watambue kinachouliwa ni CDM na sio upinzani, ilikufa NCCR ikija CUF, ikafa CUF ikaja CDM, na sasa CDM tayari ina kiharusi 2020 tunaizika, wazee wa fursa ni muda wa kujiongeza tu huu.
Wewe ni bora hata ya nyegere anatumia akiliChadrama kwishney walahi
unachokijibu na nilichokiandika ni vitu viwili tofauti kma una jeuri kawazuie hayo madude yenu mliyokuwa mnajitapa nayo yasinunuliwe, chama gani kinakuwa na watu wa kununuliwa halafu kinataka kitawale nchi...toa boliti ya jicho lako kwanza..Ina maana baada ya kushindwa kumshawishi aje kwenu ndio maana mkamtafutia wasiyo julikana hadi sasa wamuondoe dunuani?
Sijawahi kutilia shaka taarifa zako mkuu , Tunamtakia kila la heriMbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa za kanda hiyo.
=======
Jibu swali kwanza wewe kindururuunachokijibu na nilichokiandika ni vitu viwili tofauti kma una jeuri kawazuie hayo madude yenu mliyokuwa mnajitapa nayo yasinunuliwe, chama gani kinakuwa na watu wa kununuliwa halafu kinataka kitawale nchi...toa boliti ya jicho lako kwanza..
Biashara ya kipumbavu kuwahi kutokea duniani. Inatia kinyaa kumuunga mkono Rais kwa kuliiingiza taifa hasara ya mabilioni?Hii biashara haiwasaidi lakini kwa aibu hawawezi kuiacha maana watachekwa (wataulizwa imeleta tija gani) hivyo watajitutumua tu kuendelea nayo kuliko ku-surrender.
Eti hawa ndio watu wa kuipeleka Tanzania kufikia katika uchumi wa kati!!
Wabongo mtasubiri sana!!
hapa tunaongelea wabunge wenu kununulika, hoja y lissu kupigwa lisasi ilishaisha, ukitaka kuijadilI nenda kwenye hizo nyuzi, zipo kibao...hlf usiwaite watu kwa majina ya kishamba jadili kilichopo hpa, kma huna majibu piga kimya.Jibu swali kwanza wewe kindururu
Hapa ndipo inafikia hatua unajiuliza hivi CCM hawa wana nia njema kabisa na taifa hiliBiashara ya kipumbavu kuwahi kutokea duniani. Inatia kinyaa kumuunga mkono Rais kwa kuliiingiza taifa hasara ya mabilioni?
Matusi, dharau na kejeli hayajibu matatizo yenu. CDM inadondoka kutokona kuwa na wanazi wa aina yako, hamko tayari kuupokea ukweli, sasa kesheni mkitukana na kujiliza liza hapa ila 2020 hiyo Saccos inadondoshwa:Wewe una akili gani wakati unaburuzwa kama punda au mbuzi kupelekwa malishoni?
SI NDIYO HAPO!!!!!!!!Hivi si wahame wote kwa pamoja tu apo manake tumeshachoka na drama as uhamaji
Busati lina thamani kuliko suruali ya suti kama lilikuwa linakusitiri usiteleze na kuchana suruali ukaacha msamba nje.Mfuate huyo slaa wako sisi kwetu ni sawa na busati