gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,651
- 4,151
Hujui kua Tundulissu mmoja anatosha Sana kuwatia akili Chama kizima?hadi raha, hao wapinzani inabidi waitishe semina na vikao vya kufundana make bika hivyo yale mabenchi ya upinzani pale bungeni atabaki tu Tundulissu.