Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

Juzi Dada Mange Aliandika kuwa ni Mpango Lowasa kuwapeleka kuwapeleka baadhi yaWabunge wa upinzani CCM baada ya Mbowe kuanza kumdharau na alimtaja huyu OLE kuwa atahama Muda si Mwingi sasa naona itatokea kweli Dada Mangi huwa hakosei.
 
Upinzani wa kuabudu wazungu ,kupinga maendeleo na kutukana viongozi wetu bora ufe tu.
Unataka upinzani wa kuwalamba makalio ccm? Upinzani wa ndiooooo.hahahaha haipo hiyo mzee wananchi tupo na chadema.
 
Ole Milya na yule Mbunge wa Monduli ni vijana wa Lowasa, wote kuondoka ndani ya muda wa wiki moja ni meseji tosha nini kinafuata kuhusu Lowasa. CDM walifanya kosa kubwa sana 2015 kumpa Lowasa kijiti mbaya zaidi ni kama wamechanganyikiwa hawana akili wala uwezo wa kuonyesha nini cha kufanya.

Magu amedhamiria kuidondosha CDM, na kweli inaenda kudondoka, wote ambao walikuwa wana akili au uwezo wa kuisaidia CDM walishafukuzwa au kuwekwa pembeni. Mnyika na kina Prof Baregu ni wazi wamemsusia Mbowe azame na “jahazi” lake. Nimeikumbuka ile cream ya CDM ikiongozwa na Dr Slaa, Zitto na Mnyika. Nyuma ya pazia kukiwa na wana mikakati kama Prof Baregu na Prof Mkumbo. Hii ndio cream iliyoipaisha CDM, Wote hao hawapo CDM saivi au wameamua kuwa viongozi wafu, CDM jahazi linazama.

Mwisho na muhimu, nyumbxxx wa CDM watambue kinachouliwa ni CDM na sio upinzani, ilikufa NCCR ikija CUF, ikafa CUF ikaja CDM, na sasa CDM tayari ina kiharusi 2020 tunaizika, wazee wa fursa ni muda wa kujiongeza tu huu.
Chadema haitakufa milele
 
Chama kinakufa atabaki peke yake. Kuna msemo wazungu husema, if you cant fight ith them...... Join them. Nafikiri cdm ili wakwepe aibu ilombele yao wangeutumia huu msemo
Mngekuwa mnanunua wanachama wa kawaida tungeshtuka lakini kwa hao viongozi waende tu njia nyeupee.
 
Hiyo kodi inayopotea wewe haikuhusu?

Eti Tanzania ya viwanda!!!!
Pole yaani mpaka unatia huruma. Wakati wanatoka ccm kuja cdm mbona hamkusema mnawanunua? Bali mlisema ni mafuriko, sasa ukae ukijua kuwa mafuriko hutokea pindipo mvua yanyesha, na ikikata mafuriko huisha na maji yote hurejea baharini(ccm).
 
Pole yaani mpaka unatia huruma. Wakati wanatoka ccm kuja cdm mbona hamkusema mnawanunua? Bali mlisema ni mafuriko, sasa ukae ukijua kuwa mafuriko hutokea pindipo mvua yanyesha, na ikikata mafuriko huisha na maji yote hurejea baharini(ccm).
We unashangaza kweli!!Wakati wanakuja CHADEMA walikuwa wanajiuzulu nafasi zao na kupelekea nchi kuingia kwenye uchaguzi?
 
Bado tu hajasepa? Au had usiku Wa manane na haraka haraka
 
Hii biashara haiwasaidi lakini kwa aibu hawawezi kuiacha maana watachekwa (wataulizwa imeleta tija gani) hivyo watajitutumua tu kuendelea nayo kuliko ku-surrender.

Eti hawa ndio watu wa kuipeleka Tanzania kufikia katika uchumi wa kati!!

Wabongo mtasubiri sana!!
Mkuu ina maana hakuna sababu nyingine ya hii migration zaidi ya neno "kununuliwa" mbona kama mnajaribu kujificha..
 
Back
Top Bottom