Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

Kweli mkuu mabenki yanafilisika wao wako kwenye soko ka wabunge na madiwani wa cdm
Badala ya kupambana kuimarisha uchumi wanapambana kununua viongozi akili za watu wapumbavu
 
Chadema ndo inazidi kumairika wachumia tumbo wataondoka wote
Kipindi hiki ndiyo tunawajua makapi na wafia nchi wa kweli kupitia cdm na hakika hatukatishwi tamaa na hao wachumia tumbo
 
Juzi Dada Mange Aliandika kuwa ni Mpango Lowasa kuwapeleka kuwapeleka baadhi yaWabunge wa upinzani CCM baada ya Mbowe kuanza kumdharau na alimtaja huyu OLE kuwa atahama Muda si Mwingi sasa naona itatokea kweli Dada Mangi huwa hakosei.
Ni kweli kabisa Dada wa Taifa hajawahi kukosea kutoa taarifa muda utaongea
 
kifo cha upinzani ni janga kwa watanzania wote. ndio maana yule mzee wa mwitongo alikubali kura 20% zishinde dhidi ya 80% kwa sababu maendeleo chanya yanaletwa nguvu mbili zinazokizana.
''AKITUMALIZA SISI ATAANZA NA NYIE'' TUNDU LISU
Ufinyu wa akili umewafanya watu wasielewe dhana na umuhimu wa vyama vingi kwa maendeleo ya kweli na amani ya kweli kwa taifa. Amani ya kulazimisha ni vitu vya kupita tu na wananchi hawawi na utulivu halisi pasipokuwepo na demokrasia pevu
 
Back
Top Bottom