Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

CCM haijawahi kushinda uchaguzi.bila tume ya uchaguzi ya ccm na majeshi hamuiwezi chadema nyie.
Wanajua Tume Huru ya uchaguzi ikiwepo CCM hawawezi kushinda na mwisho wao utakuwa umefika
 
Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa za kanda hiyo.

=======
 
Back
Top Bottom