Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Amerudi kwao maaana kamwe samaki hawezi kusahau asili
Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa za kanda hiyo.
=======
Mbunge wa Simanjiro (Chadema), James Ole Millya amejiuzulu nafasi ya Ubunge na kujivua uanachama, amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM)