REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Nyalandu mmempa uongozi gani chamani baada ya kumnunua? Au ni pambo la ndani sababu hata kwenye chaguzi za marudio haonekani majukwaani kabisa.Hata kwa nyalandu tulisikia hayohayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyalandu mmempa uongozi gani chamani baada ya kumnunua? Au ni pambo la ndani sababu hata kwenye chaguzi za marudio haonekani majukwaani kabisa.Hata kwa nyalandu tulisikia hayohayo
Siku hizi mna 1.5T mlipiga kwahiyo mnazitumia kununulia madiwani/wabunge/wanasiasanjaa etc ,Awamu ya nne walikuwa hawajapiga 1.5TInaonekana siku hizi tunanunulika tu!
Mbowe katuharibia sana chama tangu alipokubali kununulika 2015.
Zamani chama hakikiwa hivi. Tulikuwa hatununuliki kabisa. Hata CCM wanajua.
Mkuu enzi zile tulikuwa hatununuliki hata wangetumia matrilioni mangapi.Siku hizi mna 1.5T mlipiga kwahiyo mnazitumia kununulia madiwani/wabunge/wanasiasanjaa etc ,Awamu ya nne walikuwa hawajapiga 1.5T
Walikuwa wanasubili bajeti ipitishwe ndio waanze ujuha wao, lakini iko siku na haiko mbali kila siri itakuwa wazi.Hii biashara haiwasaidi lakini kwa aibu hawawezi kuiacha maana watachekwa (wataulizwa imeleta tija gani) hivyo watajitutumua tu kuendelea nayo kuliko ku-surrender.
Eti hawa ndio watu wa kuipeleka Tanzania kufikia katika uchumi wa kati!!
Wabongo mtasubiri sana!!
Sasa Mwita,kalanga ndio wanachadema? Hao wamerudi kwao tu,CDM asili ni type za kina Mnyika,Mdee hao ukiona wanaondoka CDM basi ujue hawafanyi siasa tena na si kuhamia CCM,Zitto katoka CDM kaanzisha chama chake maana mtu mwenye akili timamu hauwezi kujiunga huko.Mkuu enzi zile tulikuwa hatununuliki hata wangetumia matrilioni mangapi.
Mwenyekiti alipokubali kufika bei 2015, kila mwanachama siku hizi ana bei.
CCM haihitaji hata nusu ya trilioni. Wanachama wa CHADEMA siku hizi ni very cheap!!!
Sawa NEC walishasema Biashara hii mwisho July 2019.Tayari mkuu
Mmmmh sitaki kuamini-Mbunge wa Simanjiro (Chadema), James Ole Millya amejiuzulu nafasi ya Ubunge na kujivua uanachama, amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Baada ya kuhamia CCM utasikia majibu ya upande wa pili kuwa 'hata hivyo tulikuwa mbioni kumsimamisha na kumfukuza kabisa uanachama kwa tuhuma kadha wa kadha'.
Ila kwakuwa inafanyika ndani ya watanzania sio mbaya,ila ni kweli wanaunga mkono juhudi za jiwe au kuna pesa za kodi za watu wanaofirisika zinatumika?Hii biashara haiwasaidi lakini kwa aibu hawawezi kuiacha maana watachekwa (wataulizwa imeleta tija gani) hivyo watajitutumua tu kuendelea nayo kuliko ku-surrender.
Eti hawa ndio watu wa kuipeleka Tanzania kufikia katika uchumi wa kati!!
Wabongo mtasubiri sana!!