Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

Inaonekana siku hizi tunanunulika tu!
Mbowe katuharibia sana chama tangu alipokubali kununulika 2015.
Zamani chama hakikiwa hivi. Tulikuwa hatununuliki kabisa. Hata CCM wanajua.
Siku hizi mna 1.5T mlipiga kwahiyo mnazitumia kununulia madiwani/wabunge/wanasiasanjaa etc ,Awamu ya nne walikuwa hawajapiga 1.5T
 
Hivi kwa nn wabunge wa viti maalumu hawaungi mkono juhud za bwana mkubwa kwa kuama chama?
 
Siku hizi mna 1.5T mlipiga kwahiyo mnazitumia kununulia madiwani/wabunge/wanasiasanjaa etc ,Awamu ya nne walikuwa hawajapiga 1.5T
Mkuu enzi zile tulikuwa hatununuliki hata wangetumia matrilioni mangapi.
Mwenyekiti alipokubali kufika bei 2015, kila mwanachama siku hizi ana bei.
CCM haihitaji hata nusu ya trilioni. Wanachama wa CHADEMA siku hizi ni very cheap!!!
 
Hii biashara haiwasaidi lakini kwa aibu hawawezi kuiacha maana watachekwa (wataulizwa imeleta tija gani) hivyo watajitutumua tu kuendelea nayo kuliko ku-surrender.

Eti hawa ndio watu wa kuipeleka Tanzania kufikia katika uchumi wa kati!!

Wabongo mtasubiri sana!!
Walikuwa wanasubili bajeti ipitishwe ndio waanze ujuha wao, lakini iko siku na haiko mbali kila siri itakuwa wazi.
 
Mkuu enzi zile tulikuwa hatununuliki hata wangetumia matrilioni mangapi.
Mwenyekiti alipokubali kufika bei 2015, kila mwanachama siku hizi ana bei.
CCM haihitaji hata nusu ya trilioni. Wanachama wa CHADEMA siku hizi ni very cheap!!!
Sasa Mwita,kalanga ndio wanachadema? Hao wamerudi kwao tu,CDM asili ni type za kina Mnyika,Mdee hao ukiona wanaondoka CDM basi ujue hawafanyi siasa tena na si kuhamia CCM,Zitto katoka CDM kaanzisha chama chake maana mtu mwenye akili timamu hauwezi kujiunga huko.

Mkuu kwenye post zako uwe unaweka na namba za simu maana awamu hii ukiwa mpayukaji hauwezi kukosa UDAS,si umeona vijana wadogo wamelamba UDAS?
 
-Mbunge wa Simanjiro (Chadema), James Ole Millya amejiuzulu nafasi ya Ubunge na kujivua uanachama, amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
 
Baada ya kuhamia CCM utasikia majibu ya upande wa pili kuwa 'hata hivyo tulikuwa mbioni kumsimamisha na kumfukuza kabisa uanachama kwa tuhuma kadha wa kadha'.
Hizo ni tabia za CCM-Mpya,unakumbuka Nyalandu alivyowasumbua akili. Nyalandu aliwauma kweli kweli,na yeye ndio chanzo cha huu usajili wote unaoendelea.
 
Hii biashara haiwasaidi lakini kwa aibu hawawezi kuiacha maana watachekwa (wataulizwa imeleta tija gani) hivyo watajitutumua tu kuendelea nayo kuliko ku-surrender.

Eti hawa ndio watu wa kuipeleka Tanzania kufikia katika uchumi wa kati!!

Wabongo mtasubiri sana!!
Ila kwakuwa inafanyika ndani ya watanzania sio mbaya,ila ni kweli wanaunga mkono juhudi za jiwe au kuna pesa za kodi za watu wanaofirisika zinatumika?
Uongozi wa aina hii hauwezi kuwa tofauti na uongozi wa kigaidi,unasajili mtu alafu unampeleka uwanja wa vita akajitoe mhanga,
 
Halafu wapiga kura wasiojitambua na kuthamini utu wao atarudi tena kutaka wampe kura nao watampa.
 
Back
Top Bottom