Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa za kanda hiyo.
=======
Mbunge wa Simanjiro (Chadema), James Ole Millya amejiuzulu nafasi ya Ubunge na kujivua uanachama, amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Wanaojitambua na kuthamini Utu wao ni wale baada ya kumtukana Mzee Lowassa majukwaani na mitaani wakameza matapishi yao na kumpa Kura za Urais!?Halafu wapiga kura wasiojitambua na kuthamini utu wao atarudi tena kutaka wampe kura nao watampa.
Something must be done to stop these nonsense!
Yametimia !!Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa za kanda hiyo.
=======
Mbunge wa Simanjiro (Chadema), James Ole Millya amejiuzulu nafasi ya Ubunge na kujivua uanachama, amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
kabisa !Tayari ameshajiunga ccm leo
Punguza kukurupuka! Sijataja Chama, ila lazima pafanyike kitu, wanaoumia Ni Wananchi, sii upinzani Wala CCM, wake up you idiot! Lazima ifike mahali tukasimama juu ya Maslahi ya Taifa, vyama vyenu kanyweeni chimpumu huko kwenu!Who is doing nonsense here? ccm au upinzani
disgusting
sasa chadema nani ambaye hatanunuliwa??
Mkuu mlijuaje hili hebu tudadavulie kidogo na pia hebu tuambie nani na nani wanakaribia kuingia sokoniTulikuwa tunajua mipango yote
Ni vitu viwili tofauti. Lowassa alichaguliwa kuwa nani na alijiuzulu na kurudi kugombea nafasi nafasi gani?Wanaojitambua na kuthamini Utu wao ni wale baada ya kumtukana Mzee Lowassa majukwaani na mitaani wakameza matapishi yao na kumpa Kura za Urais!?
Mkuu wanazingua hao waanike tu shauri yaoKuna taarifa huwezi kuweka humu angalia post niliandika tarehe ngapi leo tayari
Lakini Hii Dhambi Inawamaliza Sana, Mbowe Ndio Alianza Kukiuza Chama Kwa Lowasa, Sasa Ngoja Mnunuliwe Tu.Hii biashara haiwasaidi lakini kwa aibu hawawezi kuiacha maana watachekwa (wataulizwa imeleta tija gani) hivyo watajitutumua tu kuendelea nayo kuliko ku-surrender.
Eti hawa ndio watu wa kuipeleka Tanzania kufikia katika uchumi wa kati!!
Wabongo mtasubiri sana!!
Utofauti wake ni nini!? Wapiga Kura wanatoka Namibia au!?Ni vitu viwili tofauti. Lowassa alichaguliwa kuwa nani na alijiuzulu na kurudi kugombea nafasi nafasi gani?
Kwahiyo walimchagua Lowassa kuwa rais halafu zikabadilishwa kuwa za jiwe?!Utofauti wake ni nini!? Wapiga Kura wanatoka Namibia au!?
Acheni kuhadaa Watanzania mkuu!
Kuna nogeshwa na Biashara ya Bin-adam?, biashara aliyoisema J.K. Nyerere alipowahutubia vijana toka moshi (ya Kuuza mwili na akili)?,Rudi nyumbani.....kumenoga.
Acha kukengeuka kamanda!Kwahiyo walimchagua Lowassa kuwa rais halafu zikabadilishwa kuwa za jiwe?!