Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

Watanzania wanajua wananunuliwa hao.
 
Magu anawaangalia na usaliti wao
Atawanyonyoa na kuwanyonyoa hapo mbele hawatoamini
 
Swali la wapi ruzuku ya chama inaenda limekuwa gumu sana kwa mbowe .

Yupo tayari atumie mwezi mzima kuwaelezea bavicha namna ccm inavyonunua watu badala ya kutumia dakika moja kueleza kwa nini ruzuku ya chama haifiki wilayani.
 
James si ungewaambia na wenzako muondoke wote kwa pamoja ili kuokoa hizi kodi zetu ambazo hazina thamani kwenu wala mnunuzi wenu. Subiri kidogo wafike bei wengi ili mtoke kwa pamoja aisee.
Polepole Polepole hebu fika makubaliano na hao wengine haraka.
Tunasubiri mtufikishe kwenye uchumi wa viwanda, tunasubiri mlete maendeleo kwa wananchi, fanyeni hizo biashara mapema ili tuendelee.
Msisahau kuna suala la kununua wapiga kura!!!
 
Tangu Mbowe auze chama kwa CCM 2015, kila mtu CHADEMA ananunulika tu!
wanachama wengi wameanza kujitambua.
 
Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa za kanda hiyo.

=======
Sawa Haina Tatizo,Tunasubiri.
 
hivi dirisha la usajili linafungwa lini?au tunasubiri wabunge wa kenya wasajiliwe ccm?JPM lazima abebe kombe kwa usajili huu
 
Katika hali ya uchungu kabisa Nasema Nendeni....go!!
 
Biashara imenoga hatari...ningejua enz zile za mafuriko ningejitosa, saa hizi ningekuwa mtamu[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…