pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
- #21
Waluke na mwenzake walitafuna hizo hela, mahakama imewapata na hatia, kitakachowasibu ni wao ndio walijitakia wenyewe. Sio wapiga kura wala wafuasi wao au chama chao. Kwenye ufisadi tusiingize siasa, hata rais mwenyewe akiangukiwa na shoka abebe msalaba wake. Hawa wanasiasa wote wapo kwenye kapu moja, wasikudanganye kwamba kuna mtakatifu zaidi ya mwingine.Mahakama ipo ICU just like parliament expect it to clear waiguru,at the moment nothing good can come out of courts other than jailing opponents with awkward jail term and exorbitant fine.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app