Mbunge wa Sirisia John Waluke ahukumiwa kuhudumu kifungo cha miaka 67 gerezani au faini ya KES 1Billion kwenye kesi ya ufisadi dhidi yake

Mahakama ipo ICU just like parliament expect it to clear waiguru,at the moment nothing good can come out of courts other than jailing opponents with awkward jail term and exorbitant fine.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Waluke na mwenzake walitafuna hizo hela, mahakama imewapata na hatia, kitakachowasibu ni wao ndio walijitakia wenyewe. Sio wapiga kura wala wafuasi wao au chama chao. Kwenye ufisadi tusiingize siasa, hata rais mwenyewe akiangukiwa na shoka abebe msalaba wake. Hawa wanasiasa wote wapo kwenye kapu moja, wasikudanganye kwamba kuna mtakatifu zaidi ya mwingine.
 
Angekua team BBI Wala hio kesi haingekua na unalifahamu hilo amehukumiwa maana anapinga,hapo ni siasa Anza na NYS 1 na NYS 2 uje kwa aror and kimwarer Nani ameshitakiwa hata mmoja Ile skandol ya mahindi ambayo imekua juzi Nani ameshitakiwa, naivasha Depot land mke wa rais ametajwa ,afya house Dada wa rais alitajwa Wala hizo kesi hutowahi kusikiza kwani hii corruption inawanasa wengine na wengine wanawachwa?.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Kesi ya Waluke iliwasilishwa mahakamani mwaka wa 2018, June. Jombaa sina hamu ya kutetea mfisadi yeyote yule, awe rais U.K, Raila, Ruto, Atwoli au hata jirani yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…