Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
Nadhani alikuwa mwalimu Ngudu secondary kabla ya kugombea ubunge.Nani ana CV ya Ndassa ?Nimemshangaa sana kujifukiza.
Tatizo watu wanaamini kauli ya Rais ni kama kauli ya Mungu. Hii ya kujifukiza ni ya kijinga kabisa. Wengine wanajifukiza huku sufuria likiwa juu ya jiko la mkaa,wanavuta Carbonmonoxide at the same time.Mtu una ma hypertension then unajifukiza. Like seriously aise??hivii hujui kama ule mvuke una mwenda kuua cell za kupumulia,then force of blood inakuwa high against artery walls kwa nini usife??aise
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafia hotelini.Mara kakutwa amefariki hotelini, mara kaanguka ghafla kwenye viwanja vya bunge, which is which sasa mkuu?
Mimi kuzungumza kiingereza sio sababu ya Mimi kuwa Muingereza ... Wasukuma badirikeni baaaana ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasemekana hata huyo afisa uhamiaji wa kigoma alikuwa ana jifukiza atii!!aise aii acha wafu wazike wafu waoTatizo watu wanaamini kauli ya Rais ni kama kauli ya Mungu. Hii ya kujifukiza ni ya kijinga kabisa. Wengine wanajifukiza huku sufuria likiwa juu ya jiko la mkaa,wanavuta Carbonmonoxide at the same time.
Hapa inagusa mkakati wa kupambana na corona kitaifa ujumbe wangu haumhusu mheshimiwa marehemu, inagusa ulegevu katika kusimamia ishu ya coronaUmri wake upoje, na hali yake ki afya unaijua, au ndio huo umbea wa kike unaofanywa na mwanaume
Ok mkuuHujaelewa mkuu analamimika wasukima wanawakabidhi madaraka waarabu .nikamwambia hao ni wasukuma pure..sio arab!shinyanga wamejazana balaa