TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Mtu una ma hypertension then unajifukiza. Like seriously aise??hivii hujui kama ule mvuke una mwenda kuua cell za kupumulia,then force of blood inakuwa high against artery walls kwa nini usife??aise

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watu wanaamini kauli ya Rais ni kama kauli ya Mungu. Hii ya kujifukiza ni ya kijinga kabisa. Wengine wanajifukiza huku sufuria likiwa juu ya jiko la mkaa,wanavuta Carbonmonoxide at the same time.
 
Mara kakutwa amefariki hotelini, mara kaanguka ghafla kwenye viwanja vya bunge, which is which sasa mkuu?
Waulize mods wameweka title wao mimi nilichoandika ndicho ninachokijua
 
Tatizo watu wanaamini kauli ya Rais ni kama kauli ya Mungu. Hii ya kujifukiza ni ya kijinga kabisa. Wengine wanajifukiza huku sufuria likiwa juu ya jiko la mkaa,wanavuta Carbonmonoxide at the same time.
Inasemekana hata huyo afisa uhamiaji wa kigoma alikuwa ana jifukiza atii!!aise aii acha wafu wazike wafu wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EWxojIqWkAMYSL6.jpg
 
Yani tutakate tukubali adui nambari moja wa corona ni binadamu!!nchi zote zilizofanya lockdown licha ya vifo zimeanza kurudi kwenye normal life kenya watazibiti mapema sana kuliko sisi uganda the same.it

!!any way stay home atakaye umia kwa kifo chako ni baba ako na mama ako ,familia yako inshort!!uhai hauna spare pesa hizi zipo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri wake upoje, na hali yake ki afya unaijua, au ndio huo umbea wa kike unaofanywa na mwanaume
Hapa inagusa mkakati wa kupambana na corona kitaifa ujumbe wangu haumhusu mheshimiwa marehemu, inagusa ulegevu katika kusimamia ishu ya corona
 
Mauti yamemkuta dodoma,nadhani atazikwa dodoma na wasiozidi 10,,je,ataagwa kwenye viwanja vya bunge
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom