TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Somo la kujifukiza ni muhimu sana. Wengi wanajifukiza dawa zikiwa motoni zinachemka. Hii yaweza sababisha kuathirika kwa mapafu. Bado tutasikia vifo vikitokea kwenye fukizo kutokana na hewa ya ukaa. Elimu ya dhati itolewe.
Kwahiyo wanajifukiza huku wamesimama? Mfano unapikia jiko la kuni unajifukiza vipi huku mjungu upo katika mafiga? Vitu vingine vinastajabisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii taarifa mbona haina usahihi? hii taarifa source yake ni kwa mwandishi wa habari hasa? kwanza inasema amekutwa chumbani hotelini amefariki, halafu tunaambiwa alianguka katika viwanja vya bunge na kufariki. Sasa ni upi ukweli hapo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom