TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Homeman mtaa wa mafere, siku kaanza tu ubunge akavuta Ranger rover nyekundu tunepiga maji mango kaiacha pale karudi hm kwa mguu.
Wazee wa kazi wakaichezea sana waondoke nayo aah wapi iligoma, siku ya pili tunapiga supu huyo kaja kapiga key kaondoka.
Duh...!. Ila Wasukuma tunapenda vitu vizuri!.
RIP Mzee wa vitu vizuri ikiwemo Range nyekundu.
P
 
Mila na desturi zetu watanzania ndugu akizikwa ugenini kunaleta majonzi zaidi! Hivyo nitashauri akazikwe kwao.
Akujuae hakutupi, atakutetea kwa halii na mali.
 
Somo la kujifukiza ni muhimu sana. Wengi wanajifukiza dawa zikiwa motoni zinachemka. Hii yaweza sababisha kuathirika kwa mapafu. Bado tutasikia vifo vikitokea kwenye fukizo kutokana na hewa ya ukaa. Elimu ya dhati itolewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom