Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Duh...!. Ila Wasukuma tunapenda vitu vizuri!.Homeman mtaa wa mafere, siku kaanza tu ubunge akavuta Ranger rover nyekundu tunepiga maji mango kaiacha pale karudi hm kwa mguu.
Wazee wa kazi wakaichezea sana waondoke nayo aah wapi iligoma, siku ya pili tunapiga supu huyo kaja kapiga key kaondoka.
RIP Mzee wa vitu vizuri ikiwemo Range nyekundu.
P