Mie mwenzako nishaumwa hiyo COVID 19 tena leo najisikia powaaaa.Mkuu Kama una hela agiza ventilator toka China,unafunga kwako,,teua chumba maalumu,,ajili madaktari toka Wuhan,,saa hivi hawana kazi kule ugonjwa uliisha,so Wana uzoefu wa kudeal na huu ugonjwa,,nunua pia testing kit na reagent zake,yaani uwe full..
Waliwadnganya wanachi kuhusu KIKOMBE CHA BABU wagonjwa wakaacha kumeza dawa wakapukutika kama nzige, sasa wanajidanganya wenyewe kuhusu KUJIFUKIZA! Mungu anawaona, wanafiki wakubwa!Aidha taarifa zinasema kuwa Ndassa amefikwa na umauti baada ya kuanguka ghafla ndani ya viwanja vya bunge leo.
Inadaiwa pia kuwa ndani ya hoteli aliyokuwa akiishi kumepatikana vifaa vya kujifukiza.
Ni kweli darasa la saba la zamani ni bora kuliko graduate wa sasa viva Mbowe, viva ChademaMbowe na Chadema kwa ujumla wake wataweza kuliokoa Taifa. sisiem na sirikali KWISHNEY
Praise Team mmepungua wapi mbaya?!
Tujifukize tuuuu sisi IDIOTS
Inawatia adabu maana Katibu wao wa Itikadi alifananisha corona na wapinzani!hii kitu inatafuna wabunge wa ccm tuu, au sijui ni laana??
Na hapa anathibitisha kuwa tatizo ni changamoto za upumuaji.Tatizo kila kitu wanaona siasa
Nashangaa wanaanza kulia lia nini. Tunataka bajeti zipite wapige nyungu waendelee kuchapa kazi noretreat no surrenderChapa kazi
Hamna haja ya kupima wabunge wote, ni kupoteza rasilimali, wapime wale wenye dalili zote hata Waziri wa Afya alisema, mtu akijisikia vibaya ajitenge kwanza aangalie hali yake, kama hamna maendeleo mazuri ndio labda wafikirie kumpima.Mpaka sasa hakuna 100% proof ya wapi utampata Corona na wapi humpati, ndiyo maana self hygiene inahimizwa sana.
Kupimwa wabunge wote ni muhimu sana.