TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
kelvin marcus,
Kwa hiyo Mama wa Mboga na bibi Kiroboto ndio wanapaswa kulaumiwa kwa kuwalaghai raia kuhusu kufukiza? Mungu hawafichi wanafiki......ngoja awakaange hadi watakapotubu dhambi zao.
 
Mkuu Kama una hela agiza ventilator toka China,unafunga kwako,,teua chumba maalumu,,ajili madaktari toka Wuhan,,saa hivi hawana kazi kule ugonjwa uliisha,so Wana uzoefu wa kudeal na huu ugonjwa,,nunua pia testing kit na reagent zake,yaani uwe full..
Mie mwenzako nishaumwa hiyo COVID 19 tena leo najisikia powaaaa.

Hapa nilipo najiandaa niende jogging.
 
Aidha taarifa zinasema kuwa Ndassa amefikwa na umauti baada ya kuanguka ghafla ndani ya viwanja vya bunge leo.

Inadaiwa pia kuwa ndani ya hoteli aliyokuwa akiishi kumepatikana vifaa vya kujifukiza.
Waliwadnganya wanachi kuhusu KIKOMBE CHA BABU wagonjwa wakaacha kumeza dawa wakapukutika kama nzige, sasa wanajidanganya wenyewe kuhusu KUJIFUKIZA! Mungu anawaona, wanafiki wakubwa!
 
Mbowe na Chadema kwa ujumla wake wataweza kuliokoa Taifa. sisiem na sirikali KWISHNEY
Praise Team mmepungua wapi mbaya?!
Tujifukize tuuuu sisi IDIOTS
Ni kweli darasa la saba la zamani ni bora kuliko graduate wa sasa viva Mbowe, viva Chadema
 
Naona amekubali na yeye kwamba mambo yanaenda "HOLELA HOLELA" Msamiati wa Zitto unaanza kuwaingia kichwani

Ni upuuzi ku ignore kitu kilichoshitua dunia nzima hadi wakuu wa dunia wakatetemeka!

Uholela holela utatugharimu na kwasasa tumeshachelewa sana hatuna budi kufunga mkanda na ku dance according to Corona's tune!

Sasa hivi tunaishi kwa bahati na sibu tu! Huku mitaani watu wanaugulia ndani hujui kama ni corona au laa unasikia vikohozi vikavu, chafya, na makoo yanavyolalama kwa kukwaruza kwaruza.

Hofu imetanda na mbaya zaidi wengi hata hospital hawataki kwenda kwa kuhofia kalantini!

Kuishi uswahilini kutatuponza wengi, ningekuwa maeneo yale ya uzunguni sidhani kama hata geti lingefunguliwa kwa kweli maana Baba kashaonesha njia tunatakiwa kufanya nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa hakuna 100% proof ya wapi utampata Corona na wapi humpati, ndiyo maana self hygiene inahimizwa sana.

Kupimwa wabunge wote ni muhimu sana.
Hamna haja ya kupima wabunge wote, ni kupoteza rasilimali, wapime wale wenye dalili zote hata Waziri wa Afya alisema, mtu akijisikia vibaya ajitenge kwanza aangalie hali yake, kama hamna maendeleo mazuri ndio labda wafikirie kumpima.

Ikumbukwe sio kila homa na mafua ni Corona. Ugonjwa wenyewe umeua watu 16 na Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50, na kuna magonjwa hatari zaidi hata ya hiyo corona.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom