atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Ndio maana ukajiita abunuwasiSamahani lakini ukweli ni kwamba unastahili kuitwa zezeta. Mambo ya U-ccm yanahusiana vipi na vifo???
Kama huwezi kuomboleza ni bora kupotezea tu.
Sumve - MwanzaNi mbunge wa wapi?
... wadogo wanapukutika kama kumbikumbi sema data ndio hivyo tena! Kama Dar "watu wanapukutika kweli kweli" - Makonda.
Aisee. kama ni kweli RIP Richie, alikuwa mchezaji mzuri wa mpira hata kwenye match zao za bunge (football)
Uliona shida gani kusubiri upate taarifa kamili ndio ulete hapa?
Au ndio unataka uambiwe umekuwa wa kwanza kuleta habari
Kigogo amesema ni Mbunge wa Sumve; Richard Ndassa, tena anadai amepata taarifa toka ofisi ya Spika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora iendelee kupambana na hao hao vizito ituache sisi maskin kwa kweli
Kufa hotel mara nyingi kunahusishwa na matumizi ya MUNDENDE.Kafariki akiwa Hotelini? Eh hatari... Ila ni mbunge wa Sumve sio Kwimba.
... wanene hawafiagi sehemu za ovyo wewe! Stuka! Sema tu corona imekuwa global issue; otherwise, wangeenda kufia India, Germany, SA, Dubai, n.k.Kafariki akiwa Hotelini? Eh hatari... Ila ni mbunge wa Sumve sio Kwimba.
Nyie si wapiga mapambio....endeleeni kupiga mapambioKama hii habari ni kweli na kama ni Ndassa.......dah!!!
Ndassa aliwahi kuongelea hatari ya Corona bungeni!