TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
we are so tired of this, no any UPDATES regarding COVID19! watu hofu ni kubwa, lakini hakuna taarifa, this is very bad..! Ummy ile speed uliyokuwa nayo iko wapi sasa?
 
Sky Eclat,
Makonda is good hajamilika ila ni kiongozi mpiganaji kuhusu corona anaweza isipokuwa miongozo aliyopewa saa nyingine inamlazimisha kuongea vitu vinavyoakisi utopolo
 
Mbunge wa Sumve Richard Mganga Ndasa amefariki dunia leo asubuhi jijini dodoma!! Taarifa kamili,itakuja
20200429_131115.jpeg


Sent using, Mashikoro Mageni
 
Habari zakuanika zinasema mbunge wa sumve ndasa amefariki dunia mapema leo asubuhi akiwa hotelini.

EWwqMkMXYAE8uPM.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom