TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Alikuwa anatafuta njia yakupiga pesa tu hana lolote,Pia ilikuwa ni moja ya njia yakujiwekea mazingira mazuri kunyakua JIMBO.MAKONDA NI KATILI TU KAMA BABA YAKE.Soon tutapokea msiba mzitooo.
R.I.P rafiki na Tajiri mwenzangu kaka Ndassa.Nitamiss Offer za Mbuzi choma

Sent using Jamii Forums mobile app


Ndassa ana undugu na mamangu basi kule kwa bibi akienda ilikua zinaangushwa mbuzi na bia za kutosha vibaya sana .dah rip !leo ni vilio tu
 
Hiyo yote ni kuogopa gharama za kijikarantin. Serikali isiruhusu watu wajifanyie self isolation bila serkali kuwa na taarifa nao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom