Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko amjibu Spika Ndugai kuhusu kurudisha Posho

Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko amjibu Spika Ndugai kuhusu kurudisha Posho

Kwahiyo unaona wivu mimi kujifanya much know ?[emoji3]

Nipo tayari uwe mke ili nikuambikize huo u much know unaoutamani
Mimi nakuonea huruma mwanaccm mwenzangu unavyojichora humu,,ndo maana najaribu kukurekebisha,jua haya maandishi yanasomwa na mamilioni,Sasa just imagine watu milioni wanakufikiria,hivi hili tindiga limetoka wapi"
Yaani legacy yako Ni umbumbumbu
 
Mkuu mimi nasikiliza ushauri wa watu wanaojielewa ila sio punga km ulivyojiita huko juu

Kuna Chadema humu tunapiga siasa ila kwenye uzi usio wa siasa hatuna tofauti

Sasa Wewe msukule wa dj utakuwa unavimba mashavu kila siku kws hasira
Kwahiyo wewe unashauri a na Nani labda kea mfano?
Kijana sikiliza maneno ya wakubwa zako,,sisi humu ndo wataalamu,,usiingie kichwakichwa au la Rudi facebuku huko
 
Hahaha Kwahiyo hilo gwanda la Chadema umelivua Kamanda ?

Ila kwa jinsi upepo unavyovuma hapo Ufipa lazima uchane kadi
Mimi nakuonea huruma mwanaccm mwenzangu unavyojichora humu,,ndo maana najaribu kukurekebisha,jua haya maandishi yanasomwa na mamilioni,Sasa just imagine watu milioni wanakufikiria,hivi hili tindiga limetoka wapi"
Yaani legacy yako Ni umbumbumbu
 
Hahaha Mkuu nataka niende na Huyu msukule wa dj hadi niutie mfukoni

Hawa wakijifanya vichaa Wewe unawapa asilimia 200 za ukichaa
Haha ha,thubutu,am the master of this,,we can go one on one for a week if you want
 
Matiko acha kuwaiga kina Mdee na Bulaya watakupoteza

Wewe unaustaarabu jistukie utakufa kisiasa ukiendelea kuwaiga
Kwani kabla ya kuwa mbunge alikuwa anafanya kazi gani?mijitu ya ovyo
 
Mkuu mimi nasikiliza ushauri wa watu wanaojielewa ila sio punga km ulivyojiita huko juu

Kuna Chadema humu tunapiga siasa ila kwenye uzi usio wa siasa hatuna tofauti

Sasa Wewe msukule wa dj utakuwa unavimba mashavu kila siku kws hasira
Watu wanaojielewa Kama Nani?,
Ungekuwa unajielewa ungehoji mtu aliekaa na mgonjwa wa corona kwanini kajiweka karantini?.
Hilo tu linaonyesha wewe Ni hopeless case,hujielewi
 
Hakuna hoja hapa ni utopolo mtupu na kujifanya una maisha mazuri kwakukaa ndani kama mfugo huku wananchi wajimboni kwako wanateseka mwehu kabisa, eti
 
Ndio umeandika lugha hapa bwana punguzee Mimi sina elimu dunia
Ooh kumbe huna elimu,SI ungereseat baada ya kufail,,?,badala yake umekimbilia ajira ya mda ya buku 7,
Anyway siandiki kwa ajili yako tu,it is for globo audience
 
Huyu bi mdashi Yuko vizuri na majibu yake yameeleweka, kumbe bado Yuko kwenye kituo Chake Cha kazi kwa Sasa.
Swali; anawazungumziaje Zitto, Msigwa na Wabunge wote waliokiri kuwa kwa Sasa wako Dar ambako sio vituo vyao vya kazi kwa Sasa japo wamepokea perdiem ? Tuwaite wezi wa rejareja wa fedha za umma?
Majizi
 
Kumbe Wewe Ndio mbeba mkoba wa matiko [emoji3]

Haya Mbunge wetu mzuri anaendeleaje?
Watu wanaojielewa Kama Nani?,
Ungekuwa unajielewa ungehoji mtu aliekaa na mgonjwa wa corona kwanini kajiweka karantini?.
Hilo tu linaonyesha wewe Ni hopeless case,hujielewi
 
Mbona Wewe uliesoma huna tofauti na nyimbu wa Serengeti ?
Ooh kumbe huna elimu,SI ungereseat baada ya kufail,,?,badala yake umekimbilia ajira ya mda ya buku 7,
Anyway siandiki kwa ajili yako tu,it is for globo audience
 
Mbona Wewe uliesoma huna tofauti na nyimbu wa Serengeti ?
Kwanini unasema hivyo?,hujaona post zangu za akili?,bia yetu Mimi Niko smart than you can imagine,
Yaani Hapa duniani tunahesabika yaani,,hebu onyesha utopolo nimewahi andika humu,am very smart actually
 
Hahaha usmart gani huu wakujiita punga?
Kwanini unasema hivyo?,hujaona post zangu za akili?,bia yetu Mimi Niko smart than you can imagine,
Yaani Hapa duniani tunahesabika yaani,,hebu onyesha utopolo nimewahi andika humu,am very smart actually
 
ANAANDIKA MHE. ESTHER MATIKO (MB) AKIFAFANUA KWENYE KUNDI LA WHATSAPP LA TARIME ISHI NA MIMI

Bora ucheke Mdogo wangu..!
Hii nchi ni ya ajabu sana...! Juzi niliandika hapa posho zetu kama Michango nikaweka ( Perdiem 120,000/= n sitting 220,000/=) jumla 340,000/=. Maana hatuingii bungeni tupo karantini jamani pamoja Na kujichunguza afya..!

Mhe Spika anasema tumechukua posho...😳!

Posho ya kujikimu wanadai kutuwekea tarehe 1/5/2020 tukiwa karantini? Sijui Nini kipo nyuma ya pazia?

Kwa kawaida posho ya kujikimu huwa tunajaza form ndipo unaingiziwa kwenye account yako..! Na Tumekuwa tunafanya hivyo siku zote. Jana nimeshtuka kusikia eti kuna posho tumeingiziwa Maana sijaenda bank nipo karantini hapa Dodoma sitoki hata nje..! Kwa hiyo sijui kama kweli ama lah.

Kwa hiyo tumeingiziwa posho Za kujikimu bila kusaini? Upendo wa agape huu...! Ambao ghafla tulioingiziwa Fedha Za kujikimu bila kujua tunaitwa wezi? Hapa wanasheria waje watusaidie.

Turudi kwenye uhalisia. Let us assume Yaani tufanye wabunge wa Chadema walijaza form ya posho ya kujikimu( perdiem) Na kusaini labda tarehe 28/4/2020 kwa siku 16. Na hivyo siku 14 kuwa za karantini..! Sasa uhalali wa Mhe Spika kusema turudishe posho ya kujikimu unatoka wapi? Maana sio posho ya kikao kwamba umelipwa bila kuhudhulia?

Hii ni posho ambayo unalipwa kulipia hotel/ chakula n.k. Ukiwa kwenye kituo cha Kazi ambacho ni Dodoma. Sote Twajua matumizi ya perdiem..! Na wabunge wapo Dodoma kwenye karantini Lkn wanafanya majukumu yao mengine ya kibunge kwa njia ya mtandao sio lazima wawepo bungeni.

Kuna wabunge wengi sana wa CCM hujaza form Za hii posho siku ya kwanza Na kuondoka..! Je alishawataka kurudisha hizo Fedha tunawajuwa tena kwa majina. Ni dhahiri hajawahi Na hawezi kwakuwa hizi si posho Za kitako ( sitting allowance) bali ni posho ya ambayo hulipia Malazi Na chakula.

Niseme tu nimesikitika sana kwa hili , inaonekana kuna hidden agenda..! Probably more to come as he said it yesterday...!

Binafsi nafuata masharti ya matabibu ( wataalam wa afya)Najitenga na kujichunguza afya yangu. Marehemu Mhe Ndassa alikuwa Kaka yangu Na rafiki wa kweli kwangu , karibia kila siku nilikuwa naenda kwenye kiti jirani na kuteta naye hata siku Mbili kabla ya umauti wake. Hivyo lazima nijitenge kwa Muda.

Kwangu mimi afya yangu Na ya wale ninao wazunguka ni Muhimu sana kuliko hizo posho.! Kwa Miaka miwili tulikuwa kwa asilimia 80 tupo mhakamani wakati wa Bunge la bajeti sikuona walau hata barua ya Bunge ikiomba mahakama walau wazingatie vikao Vya Bunge Na kufanya kila baada ya siku 14 au mwezi..! Tuliweza poteza posho ya vika Zaidi ya siku 200 kwa wabunge Saba wa Chadema tuliokuwa Na kesi ( Mhe Mbowe, Mnyika, Heche, Mdee, Bulaya, Msigwa Na mimi). Ambapo posho Za vikao tu ni 220,000 * 200 ni 44,000,000/= (44ml).

Nilipelekwa gerezani kwa hilasiku 104 hapa napo nilikosa mamilioni ya shilingi, nilikosa fursa ya kuwawakilisha Wananchi wangu bungeni Na nje ya Bunge. Ijulikane tu nilifutiwa dhamana ambapo nilikuwa nimetumwa Na Bunge Kwenda Burundi , lakini sikuona Bunge wakinitetea ? Leo Nipo karantini kwa tahadhari huku nikiendelea na shughuli zangu Za uwakilishi shida ipo wapi? Maana gerezani ni total lockdown hamna hata mawasiliano.

Jana tu tulifanya kikao cha Kamati ya mfuko wa jimbo, ili kupitia bakaa ya 12.5ml ya tuliyopeleka kwenye Ujenzi wa Choo shule ya sekondari Tagota .

Tulifanya Teleconference na wajumbe na kufikia maamuzi kuwa Tshs. 2.5ml ziende kwenye manunuzi ya samani Za ofisi ya walimu ikiwemo partition ya ofisi. Maana nilipotembelea mwezi wa tatu . Nilikuta Walimu wote wapo kwenye darasa moja lilowazi hata Mwl Mkuu. Na Kilio kikubwa kilikuwa uboreshwaji wa Hiyo ofisi.

Hivyo hizi hisia hasi Na kuonekana tupo mikoani tunadhurula sio sahihi..!

Nasikitika tu kuwa hata tukiwa bungeni kwa ufinyu wa muda hatupati fursa ya kuchangia. Maana ya saa 4 tu Za kuwasilisha hotuba ya wizara, Kamati ya Bunge, hotuba ya upinzani , Michango ya wabunge, majibu ya mawaziri, hitimisho la Mtoa Hoja.......?🤔

Hapa nakuachia wewe mwananchi uone kama wawakilishi wako tunakutendea haki. Unakuta upande wa Chadema wanapata watu wawili tu au mmoja wizara labda wagawane dakika tano .

Nilitarajia Bunge liende hadi July na Vikao vifanyike hadi Jumamosi. Maana tulipunguza masaa ya kikao kutoka saa nane kwa siku hadi saa 4 kwa siku .

Hivyo tungeweka wizara ya siku moja ya zamani kuwa siku 2, Na Za siku 2 kuwa siku 4. Lkn imekuwa kinyume ya wizara zilizokuwa Za siku 2( saa 16 sasa ni saa 4 siku 1, siku 3 saa 24 sasa Ni saa 4 siku 1 na ya siku 1 saa 8 zamani ni saa 4 siku 1 ya sasa. Bajeti Kuu ya serikali ilikuwa siku 6 saa 48 sasa Ni siku 2 Yaani saa 8🤔🤔🤔🤔

Nilidhani mngepiga kelele Bunge lisifupishwe ili wawakilishi wenu wajadili draft Za bajeti Za serikali kwa kina kuliko kinachofanyika sasa..’!

Huwa kila siku nashauri humu Tarime Ishi Na Mimi ..! Tuweke itikadi zetu pembeni, ili tuwe Huru kuchambua mambo kwa jicho la tatu. Bila kufanya hivyo tunaliangamiza taifa.

Wana CCM mnauwanja mpana sana kushauri kwenye vikao vyenu. Maana kwa sasa nyie ndo mmpewa ridhaa na wananchi, ya kukusanya kodi Na kupeleka maendeleo. Nawaomba sana mtambue jukumu lenu . Naona Mmekuwa mkikwepa majukumu yenu kwa kuitafutia Chadema ubaya...!

Tushikamane tuijenge Tarime Yetu.!

Mungu awabariki..!

Corona Ipo, Corona inauwa..! Tuchukue tahadhari.!🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

Esther Matiko (Mb)
Tarime Mjini.
Asante sana mamiloo, usikubali kulamba miguu kama baadhi yao waliojipendekeza kwa kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu mfano ni fulani japo mnatoka kanda moja, lakini kawaaibisha sana vidume wa kanda yenu. Big-up mama LA mama, IMEISHA IYOO..!!
 
Hahaha usmart gani huu wakujiita punga?
Ha ha ha,we jamaa first sijajiita punga japo unainsist nimejiita punga,
Pili,what does being punga have to do with being smart?
It doesn't relate,get that fact in your small mind
 
Back
Top Bottom