Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Main point yangu Ni kuwa,wewe hufai kuitetea serikali Wala chama,hujui Nini uongee,unaropoka tu Kama zuzu,kufanya siasa kunahitaji akili,mnakitia aibu chamaHahaha hebu tuambie hapo Ufipa Ndio tabia yenu ya kugeuzana? Hii ni laana Sasa Ndio maana chama kinajifia Hicho Mkuu