Wakubaki mbona wapo kibao tu mkuu kama darasani mnafundishwa na mwl 1 madwali sawa mmoja anapata 100% wengine 0% itakua kwenye siasa mkuu. Hata Nuhu alienda na wachache so wakubaki wapo
kila la heriMbunge wa TEMEKE, Abdallah Mtolea kwa tiketi ya CUF atangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge na nafasi zote ndani ya
chama chake #BUNGENI leo kwa kile alichodai kumekuwa na migogoro ndani ya Chama chake.
View attachment 935097
njaa haina baunsa mkuuHivi huwa wanafikiria nini hasa
Umeshatathmini kwa niaba yao mpaka unatoa suluhisho?Wapinzani wanatakiwa wajitathimini sana.Kusema wananunuliwa haitoshi katika kunipa uhai vyama vyao.Kunawatu inatakiwa wajiudhuru kwa faida ya Upinzani maana wameshindwa kuviongoza vyama katika mstari ulionyoofu
mbona zishapata wanunuzi hujajua tu hahhahhaha kalaghabaoAmechelewa sana ata hivyo hongera sana kwake ila bado hamtutoi kwenye koroshow maana tunabanana mpaka tujue korosho jiwe ataziuza wapi kwa bajeti ipi?
Hivi hawa watu wana roho gani? Ukiangalia wengi wa ‘wanaojiuzulu kuunga juhudi’ majimbo yao yote ushindi ulipatikana kwa mabomu ya machozi na damu za wapiga kura wao!
Wamekosa roho za utu kwa kiasi kikubwa sana,nachelea kusema huu ni USALITI kwa waliokuamini na kukupigia kura na zaidi wakajitolea maisha yao kulinda ushindi wako.
Shame!