kibokomchapaji
Senior Member
- Aug 18, 2017
- 165
- 307
hahahaaaaIla jamaa iyo kaunda suit imemtoa
hahahaaaaIla jamaa iyo kaunda suit imemtoa
unapenda sana misaada??? ipo siku anayekupa misaada atakwambia leo alale na mkeo na hutakuwa na lakusemaBora tuendelee kunyimwa misaada na mikopo!
Hahaaa umenichekesha ndugu,,Amechelewa sana ata hivyo hongera sana kwake ila bado hamtutoi kwenye koroshow maana tunabanana mpaka tujue korosho jiwe ataziuza wapi kwa bajeti ipi?
Umekwisha ndugu yangu nenda kasomee kuwa omba omba barabarani masikini wewe walahiAmechelewa sana ata hivyo hongera sana kwake ila bado hamtutoi kwenye koroshow maana tunabanana mpaka tujue korosho jiwe ataziuza wapi kwa bajeti ipi?
Tunakua Na Nafasi hii Mtachukua' Sawa tunaongea kinyone na tunajua hatuwezi wafanya chochote ! Lakini hizi PESA zitakazo rudia Uchaguzi Hamuoni kwamba zingeweza Kutufikisha Mbali kwenye Jambo fulani....! naongea kama mtanzania niliyekata tamaa na kujua hakuna mabadiliki yatatokea .............................GOD HELP USMbunge wa Jimbo la Temeke Abdallah Mtolea wa Chama cha CUF ametangaza rasmi kujivua uanachama wa chama hicho pamoja na kuachia nafasi yake ya Ubunge kuanzia hivi sasa.
Mtolea ametangaza uamuzi huo bungeni jijini Dodoma hii leo Novemba 15, 2018 ikiwa ndio tarehe ya mwisho iliyowekwa na CCM kwa viongozi wa vyama vingine wanaotaka kuhamia CCM na kupewa dhamana ya kutetea udiwani na ubunge wao kwa tiketi ya chama.
View attachment 935115
Abdallah Mtolea akitoka nje ya ukumbi wa Bunge baada ya kutangaza kujiuzulu Ubunge
Soma pia: CCM yatangaza leo ni siku rasmi kufunga milango kwa wanaotaka kuhamia kutoka vyama vya upinzani - JamiiForums
For the English Audience
Temeke Constituency Member of Parliament, Abdalla Mtolea has announced his resignation from his leadership posts within the Civic United Front(CUF) citing that he is not impressed by the internal dispute that has torn the party into two.
Today, November 15th is the deadline for those who want to join CCM and get nominated to represent the party in by-elections as stated by CCM's National Executive Committee in October.
Mtolea becomes the 8th Opposition Member of Parliament to resign from his post since the 2015 General Elections.
Sasa ndio naelewa kwann ukiwa msaliti kwa nchi unauwawaKweli kabisa,laiti kama nchi ingekua kwenye hali mbaya hawa viongozi wasingekua wanafanya maamuzi kama haya kwa kuhofia gharama za mchakato mzima wa uchaguzi.
Nchi iko na uchumi mzuri,hivyo hilo linawapa uwezo wa kufanya hiki wanachokifanya kila wanapojisikia.
Mkuu nilikuwa sijui kwann msaliti anakula chuma sasa naelewaNakubaliana nawe kuhusu uwepo wa sababu za aina yoyote ile.
Mkuu P
Sikubaliani nawe pale wanapofanya matatizo ya vyama kama ndiyo sababu.
Huu ni uongo, usemwe na usivumiliwe.
Wao ni raia huru wanaweza kuhama bila kusema lolote na hawana kosa
Leo Mtolea aliyeishi na CUF kuanzia inaparaganyika , inagawanyika, account zina matatizo, wabunge wanafukuzwa na kupandikizwa, makao makuu hayajulikani, kwa muda wote huo hakuona tatizo na kulisema ndani ya chama chake. Alichukua upande kulinda ubunge wake
Leo tena baada ya deadline ya CCM anatangaza kuhama eti kwasababu za CUF
Huu upuuzi usiendekezwe hata kidogo.
Tutakuwa na taifa la watu wajinga wajinga, wakilifanya taifa lote ni la wajinga.
Mtolea ahame tu ana haki zake za kisheria. Ana haki za kuitisha mikutano na kueleza, ana haki za kutosema. Hana haki ya kupandikiza uongo unaotokana na masilahi yake kama suala la kitaifa
Katika waliondoka hakuna genuine hata mmoja.
Kiongozi genuine ni yule anayesimama kuhesabiwa wakati akiwa ndani ya chama chake.
Hata kama anafukuzwa, lakini kama ana anachosimamia huyo ni genuine
Hawa wengine wanaoandika barua mbili, ya kwanza kulaani vyama vyao na ya pili ni ile iliyoandikwa Lumumba 'standard letter' yenye maneno ya ''kujiuzuru' si genuine hata kidogo
Hakuna anayejiuzulu na kukaa pembeni, wakijiuzulu wanaomba, wanateuliwa wanarudi Bungeni kutetea kile walichoaminisha hakikuwa sawa. Yaani siku moja mtu anakuwa si yule
Mku Pasco kijiko ni kijiko tusiite kijiko kama beleshi au chepeo, ni kijiko tu
Kwa upande mwingine, hili ni jambo lenye faraja.
Ni heri ya wapinzani watatu wanaosimamia na kuamini wanachokisema kuliko kundi lisilojielewa linaloishi kwa kutegemea allowance. Kundi lisilo na masilahi na nchi bali masilahi yao binafsi
Nadhani ulikusudia "Kula"Anaelekea safari ile ile na wenzake tofauti huyu amepandia njiani..Halafu anakuja kusumbua watu kuhusu kura.
Nadhani ulikusudia "Kula"
Safarini hamna "Kura" kuna "Kula"
Asante.
Hahahah"Pesa ipo ya kutosha sana,uchaguzi utafanyika tena na wewe utapata ubunge tena"