Tundu lisu atakuwa makamu mwenyekiti wa Chadema Marekani sio Tanzania bara.Katiba ya chadema imevunjwa kwa kuchagua mtu ambaye haishi Tanzania bara kuwa makamu mwenyekiti wa Tanzania bara!!!!
Kwani Marekani nako wapo wafuasi wa Chadema atawaongoza nadhani hilo sio Tatizo.Tundu lisu atakuwa makamu mwenyekiti wa Chadema Marekani sio Tanzania bara.Katiba ya chadema imevunjwa kwa kuchagua mtu ambaye haishi Tanzania bara kuwa makamu mwenyekiti wa Tanzania bara!!!!
Kule wako watanzania sio watanzania bara peke yao wako wazanzibari piaKwani Marekani nako wapo wafuasi wa Chadema atawaongoza nadhani hilo sio Tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Chadema wamevunja katiba ni yao wewe unaumia nini?Wagombea wanatakiwa kujieleza live mbele ya Kamati wakiwepo physically .Tundu Lisu jina lake inatakiwa likatwe kwa kutotimiza kigezo Cha kuwepo kikaoni.Akipitishwa katiba ya chadema itakuwa imevunjwa

Kule wako watanzania sio watanzania bara peke yao wako wazanzibari pia
Ulichoandika hata mwenyewe hukiaminiTundu lisu atakuwa makamu mwenyekiti wa Chadema Marekani sio Tanzania bara.Katiba ya chadema imevunjwa kwa kuchagua mtu ambaye haishi Tanzania bara kuwa makamu mwenyekiti wa Tanzania bara!!!!
Sio kuvunja katiba ya vyama vyao
Tundu lisu atakuwa makamu mwenyekiti wa Chadema Marekani sio Tanzania bara.Katiba ya chadema imevunjwa kwa kuchagua mtu ambaye haishi Tanzania bara kuwa makamu mwenyekiti wa Tanzania bara!!!!
Ibara ipi ya Katiba ya CHADEMA imevunjwa Chicka ?Tundu lisu atakuwa makamu mwenyekiti wa Chadema Marekani sio Tanzania bara.Katiba ya chadema imevunjwa kwa kuchagua mtu ambaye haishi Tanzania bara kuwa makamu mwenyekiti wa Tanzania bara!!!!
Acha kulipa kodi ili ruzuku isitokane na kodi yako.Kikao kinagharimiwa na ruzuku inayotokana na Kodi yangu
Anatakiwa kuwepo mwenyewe mbele ya wajumbe katiba haizungumzii kuhojiwa kea Simu,barua pepe,Watsap au njia zingine za kidigitali Vinginevyo hata Vikao vya Kamati kuu kusingekuwa na haja wakutane wangefanya kwa teleconference.Yeye Kama atahojiwa kwa Watsap nk imekula kwakeHata kwa conference video cal si live au
Huyu alipagwa na mbowe hata walichukua form ya uenyekiti wa taifa watajitoa na mbowe atapita bila kupingwa
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatakiwa kuwepo mwenyewe mbele ya wajumbe katiba haizungumzii kuhojiwa kea Simu,barua pepe,au njia zingine za kidigitali Vinginevyo hata Vikao vya Kamati kuu kusingekuwa na haja wakutane wangefanya kwa teleconference