Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea ajitoa kugombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA, amuachia Lissu

Tundu lisu atakuwa makamu mwenyekiti wa Chadema Marekani sio Tanzania bara.Katiba ya chadema imevunjwa kwa kuchagua mtu ambaye haishi Tanzania bara kuwa makamu mwenyekiti wa Tanzania bara!!!!
Nyinyi "wanyonya damu" mnamtaka Tundu Lissu arudi nchini ili mumpyuyu!
 
Mbona kama hili suala ccm ndo mpo nalo concerned zaidi? Hebu fuateni mambo yenu basi mazee
 
Tundu lisu atakuwa makamu mwenyekiti wa Chadema Marekani sio Tanzania bara.Katiba ya chadema imevunjwa kwa kuchagua mtu ambaye haishi Tanzania bara kuwa makamu mwenyekiti wa Tanzania bara!!!!
Chadema siku zote ni watu wa mzaha
 
Back
Top Bottom