Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,031
- 2,668
Stop it plz.Tundu Lisu ndiye mwenyekiti baada ya Mh. Mbowe
Some guys when they hear this, their holes keep on tikkling.
Sent using Jamii Forums mobile app
Stop it plz.Tundu Lisu ndiye mwenyekiti baada ya Mh. Mbowe
Kafanya jambo jema.Nyumba ni yetu sote kwanini tugombanie fito?Mungu mbariki Kubenea .
Anatakiwa kuwepo mwenyewe mbele ya wajumbe katiba haizungumzii kuhojiwa kea Simu,barua pepe,Watsap au njia zingine za kidigitali Vinginevyo hata Vikao vya Kamati kuu kusingekuwa na haja wakutane wangefanya kwa teleconference.Yeye Kama atahojiwa kwa Watsap nk imekula kwake
Wakati mwingine wanasema Ficha ujinga kwa kukaa kimyaKubenea kaogopa Mbowe asije akampa sumu, kasalimu amri, lisu hayuko tanzania hastahili kugombea
Wanatapatapa tuSasa mpaka imefikia hapo ilipo means hakuna konachoharibika haiwezekani chadema wote wawe hawajui hiki unachojua ww
na hilo mnaingilia kweli mnaiogopa CDMTundu lisu atakuwa makamu mwenyekiti wa Chadema Marekani sio Tanzania bara.Katiba ya chadema imevunjwa kwa kuchagua mtu ambaye haishi Tanzania bara kuwa makamu mwenyekiti wa Tanzania bara!!!!
Kama umechukia kunywa sumu ufe habari ndiyo hiyo.Wagombea wanatakiwa kujieleza live mbele ya Kamati wakiwepo physically .Tundu Lisu jina lake inatakiwa likatwe kwa kutotimiza kigezo Cha kuwepo kikaoni.Akipitishwa katiba ya chadema itakuwa imevunjwa
Matusi yanakusaidia nini?
Nadhani unazungumzia karne ya 19, siku kuna video conference, kuna Skype mnahojiana kwa mtandao. Sijui kama Katiba inasema lazima mhojiane mubasharaAnatakiwa kuwepo mwenyewe mbele ya wajumbe katiba haizungumzii kuhojiwa kea Simu,barua pepe,Watsap au njia zingine za kidigitali Vinginevyo hata Vikao vya Kamati kuu kusingekuwa na haja wakutane wangefanya kwa teleconference.Yeye Kama atahojiwa kwa Watsap nk imekula kwake
Chadema ndio.inabomoka hivyo makundi yanaaza kazi.Kubenea Sumaye angegombea uenyekiti kubenea ndie alitakiwa kuwa makamu wake baraMungu mbariki Kubenea .
Huu ni uongo, halima mdee kawa mwenyekiti wa bawacha bila kupingwa! Aligombea yeye na kivuliHuo upuuzi wa kupita bila kupingwa uko huko ccm. Cdm hata yakibaki mawe lazima yapigiwe kura.
Huu ni uongo, halima mdee kawa mwenyekiti wa bawacha bila kupingwa! Aligombea yeye na kivuli
Sent using Jamii Forums mobile app