Lissu ni habari ya mujini kwa sasaNadhani chadema, wameona usalama na kinga ya Lissu kurudi ni unaibu Mwenyekiti wa chama.
Tuone Lowassa aliteta ushindi mwingi wa wabunge, jee ujoo wa TL utaleta faida gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi "wanyonya damu" mnamtaka Tundu Lissu arudi nchini ili mumpyuyu!Tundu lisu atakuwa makamu mwenyekiti wa Chadema Marekani sio Tanzania bara.Katiba ya chadema imevunjwa kwa kuchagua mtu ambaye haishi Tanzania bara kuwa makamu mwenyekiti wa Tanzania bara!!!!
Chadema siku zote ni watu wa mzahaTundu lisu atakuwa makamu mwenyekiti wa Chadema Marekani sio Tanzania bara.Katiba ya chadema imevunjwa kwa kuchagua mtu ambaye haishi Tanzania bara kuwa makamu mwenyekiti wa Tanzania bara!!!!