Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea (CHADEMA) kufanya mkutano na waandishi wa habari Aprili 2, 2020

Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea (CHADEMA) kufanya mkutano na waandishi wa habari Aprili 2, 2020

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mhe. Said Kubenea, kesho Alhamis Aprili 2, 2020 atazungumza na waandishi wa habari moja kwa moja kutoka ofisi za gazeti la MwanaHALISI Kinondoni, jijini Dar es salaam.

Kubenea.jpg
 
Msimu wa siasa huu.
Tunasubiri tusikie wapi, CCM au NCCR Mageuzi.
 
Mbona dingi ukanikimbia...... Ugumu wa maisha ndio ulio changia.....

Sent using Redmi Note 7 Pro
 
Aende CUF ya Lipumba ili kuonegesha zaidi hama hama.
 
Back
Top Bottom