Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea (CHADEMA) kufanya mkutano na waandishi wa habari Aprili 2, 2020

Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea (CHADEMA) kufanya mkutano na waandishi wa habari Aprili 2, 2020

Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mhe. Said Kubenea, kesho Alhamis Aprili 2, 2020 atazungumza na waandishi wa habari moja kwa moja kutoka ofisi za gazeti la MwanaHALISI Kinondoni, jijini Dar es salaam.
Dunia nzima macho yapo kwenye Corona...watu hatujui nini kitatokea kesho ...
Kama anataka kuongelea Corona nitamuheshimu sana...tofauti na hapo..ngoja tusubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akimbilie huko labda rafiki zake wa CCM watalifungulia gazeti lake la Mwanahalisi, halafu likishafunguliwa litaanza kuandika utumbo kama Tanzanite!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kampeni za uchaguzi Mkuu 2020 tutsikia mengi sana!

Tupiganie uzima tu.
 
Ahahahahahahahah! Chadema waliishawahi kuwa na kamsemo, "Toroka uje". Sijui ndio maana yake hii? Ahahahahahah!
 
Narudia tna ni kheri kwetu kuletewa magavana tu...
IMG_20200320_223458.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom