FortJeasus
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 604
- 402
Subiri uone atakachosema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri uone atakachosema.
Mathayo : Mlango 3
7 Hata alipoona wengi miongoni mwa Mafarisayo na Masadukayo wakiujia ubatizo wake, aliwaambia, Enyi wazao wa nyoka, ni nani aliyewaonya ninyi kuikimbia hasira itakayokuja?
Kwani Video Conference hakuna??Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mhe. Said Kubenea, kesho Alhamis Aprili 2, 2020 atazungumza na waandishi wa habari moja kwa moja kutoka ofisi za gazeti la MwanaHALISI Kinondoni, jijini Dar es salaam.
Iwapo ataanza safari, hakika atelizungumzia hilo katika safari yake hiyoNinyi nanyi mnatuchosha bhana. Hizi ni nyakati za kupambana na Corona sii kufanya siasa.
Na nyie waandishi muulizeni huyo Kubenea wamemuweka wapi Ben, maana kuna wakati alidai anajua alipo!
Wanao futa vyama vingi ni viongozi wa vyama vya upinzani wanao vihama vyama vyao! Msitafute mchawi. CCM haihusiki!Serikali kupitia chama cha CCM, itangaze kufuta mfumo wa vyama vingi Tanzania, tubaki na chama kimoja CCM. Wapinzani wawe ndani ya CCM na sio nje
Sent using Fly in any Weather.
Ndio wakati wa kusema ben alipoNinyi nanyi mnatuchosha bhana. Hizi ni nyakati za kupambana na Corona sii kufanya siasa.
Na nyie waandishi muulizeni huyo Kubenea wamemuweka wapi Ben, maana kuna wakati alidai anajua alipo!
Bimkubwa una kamdomo [emoji3][emoji3]Ulitaka tumpongeze na champagne?
Malofa tu. Wakigeuziwa gia angani hawana shidaBaadhi ya wanasiasa wa upinzani wa Tanzania, huwa wanaowanaje wapiga kura, mashabiki na wanachama wao?
Kama huyu, anaita mkutano kueleza nia yake ya kuhama chama badala ya kuimarisha ushiriki wake katika vikao vya bunge la bajeti! Inashangaza sana.
KARIBU CCM, milioni 200 usiziache bure na ulinzi unapewaMbunge wa Jimbo la Ubungo Mhe. Said Kubenea, kesho Alhamis Aprili 2, 2020 atazungumza na waandishi wa habari moja kwa moja kutoka ofisi za gazeti la MwanaHALISI Kinondoni, jijini Dar es salaam.
Kila laheri mkuu !!
Ataongelea kuhusu CORONA hatua ambazo serikali inatakiwa kuzichukuaNinyi nanyi mnatuchosha bhana. Hizi ni nyakati za kupambana na Corona sii kufanya siasa.
Na nyie waandishi muulizeni huyo Kubenea wamemuweka wapi Ben, maana kuna wakati alidai anajua alipo!