macson3
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,134
- 1,230
Hajitambui Makamanda uchwara hawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makamanda wataanza kumtukana, kama kawaida yao.
macson
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajitambui Makamanda uchwara hawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makamanda wataanza kumtukana, kama kawaida yao.
Natoa mfano tu "Chadema haijagharimia chochote kwa matibabu ya Tundu Lissu Ubelgiji bali nijuhudi zetu mimi na Kubenea.." - Antony KomuKampeni za uchaguzi Mkuu 2020 tutsikia mengi sana!
Tupiganie uzima tu.
Hifanyieni SELF ASSESSMENT , sio bure kuna tatizo kubwa chamani kwenu. Msitafute njia za mkato, kaeni kitako mujaribu kuzirafuta nyufa na kuziziba. Hao wanao ondoka ,kuna mamluki na kuna waluonewa, udhiwa, dhulumiwa na waliona fosari nyingi na kutosikilizwa, sio kila mmoja kanunuliwa.Ulitaka tumpongeze na champagne?
Huyu alikuwa na mdomo mchafu na hasira kali. Unawaitaje watu uzao wa nyoka?
Yeye ndio Ukweli na ukweli utakuweka huru. Nyoka anayeongelewa sio hawa akina chatu bali malaika muasi mkuu, shetani. Yoyote anayekataa wito wa Mungu aliyehai wa uzima wa milele kwa utashi wake baada ya kuusikia wito huo, ni wa kizazi cha huyo nyoka.
“You belong to your father, the devil and you want to carry out your father’s desire”, John 8:44
Hivi hao wanahamahama ikitokea uchaguzi umeahirishwa kwa sababu ya CORONA kama ilivyotokea Ethiopia na wameshapoteza udhamini wa Chama chake cha zamani ataendelea kulipwa kama Mbunge?Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mhe. Said Kubenea, kesho Alhamis Aprili 2, 2020 atazungumza na waandishi wa habari moja kwa moja kutoka ofisi za gazeti la MwanaHALISI Kinondoni, jijini Dar es salaam.
Mkuu, Safi Sana Kwa swali ambalo wandishi watakohudhuria waliuluze!!Ninyi nanyi mnatuchosha bhana. Hizi ni nyakati za kupambana na Corona sii kufanya siasa.
Na nyie waandishi muulizeni huyo Kubenea wamemuweka wapi Ben, maana kuna wakati alidai anajua alipo!
Sasa atakuwa huru kueleza Chadema wamempeleka wapi Ben Saa8Makamanda wataanza kumtukana, kama kawaida yao.
Hahahaha, kwani jamaa kasema Leo atazungumzia hili suala? au mnamjaza aropoke ?