Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea (CHADEMA) kufanya mkutano na waandishi wa habari Aprili 2, 2020

Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea (CHADEMA) kufanya mkutano na waandishi wa habari Aprili 2, 2020

Walioshiriki kuwatenganisha Mbowe na Zitto wamemaliza kazi sasa wanaondoka


Sent using Jamii Forums mobile app
Ila lazima tutambua kwa siasa za aina hii ni vigumu kwa nchi yetu kupiga hatua kimaendeleo.

Ni muhimu kila raia ajikite zaidi kuboresha hali yake ya maisha binafsi na familia yake, kuweka nguvu kwenye siasa za hii nchi ni matumizi mabaya ya akili.
 
Nasubiri kwa hamu siku ambayo Freeman Mbowe naye atageukwa na Kubenea. Huko nyuma, SAED ameonyesha uwezo mkubwa wa kuhama kambi na kusahau fadhila.

Inajulikana kwamba kimada wa Kubenea na mzazi mwenzake, Esther Daffa, alikatwa kwenye kinyanganyiro cha kutafuta Viti Maalumu kupitia CHADEMA. Hii si dalili nzuri kwa Mbowe na wenzake.

Mbowe afahamu kuwa Kubenea tayari amegombana na wote waliowahi kumsaidia huko nyuma. Hamad Rashid, Lipumba, Zitto, Mwakyembe, Membe, Nape, Sitta na wengine chungu nzima.

Ni suala la wakati tu kabla NDUMILAKUWILI huyu hajamgeukia Freeman Mbowe. Tusubiri tuone..
 
Hizi njemba 2 ilikuwa kama hajakubwa na ndogo, unaweza kubana kwa muda tu but huwezi zuia. Hata hivyo, huwa zinatoka pamoja kubwa inaweza anza ikamalizia ndogo au ndogo inaanza then ikikata kubwa inafuata then ndogo inamalizia. Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa.
 
Hajafanya tu press yake,na kama anahama basi tutegemee lawama kama vile.
"Nilishinikizwa kujiengua nafasi ya Makamu Mwenyekiti bara"

Hayo magazeti yake bila shaka yatakuwa huru sasa kutuambia vitu ambavyo alikuwa hawezi kuvisema akiwa ndani ya chama.
Magazeti yake ya Upupu
 
Ahahahahaaaaaa imagination zinalazimishwa ziwe uhalisia, kwann tusijikite kuutafuta ukweli ndiyo tuuweke hadharani......... Itatusaidia maana vinginevyo tutakuwa sawa na uncivilized people ambao zamani walikuwa wakiumwa malaria wanasema jirani kamloga bila kushugulika na mbu anayeeneza malaria. Chadema na upinzani kwa ujumla swala la watu kuhama chama ni tafsiri kuwa Kuna vitu haviko sawa ndani yenu na Mara nyingi wanaoondoka wanaeleza mengi yaliyokuwa chini ya kapeti ambayo kama wahusika tungeyafanyia kazi bila shaka tungejikwamua hapo kuliko kila leo kumuona CCM ndiye mbaya wetu namba moja, vinginevyo kama imani hiyo itaendelea CDM na upinzani kwa ujumla hautakaa kuwa imara hata siku moja.
CDM na upinzani kwa ujumla utakaaje imara wakati vimekabwa na vyombo vya dola na CCM imejificha kwenye hivyo vyombo?
 
Mkirindi, Chadema ni imara na bado itaendelea kuwa hivyo Mkuu. Tuko kwenye vita vya kisiasa hasa kipindi hiki tunakoelekea uchaguzi mkuu oct. 2020. Hivyo lazima kuwepo makapi na ngano halisi.

Upepo unapovuma majani mengi hupukutika na mengine kubaki kwenye mti. Je ni kosa la mti?? Ondoa hofu majani mengine yatachipua na maisha ya mti kuendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu Halaiser, unajua watanzania wengi kinachotirudisha nyuma na kushindwa kutimiza malengo yetu, ni uvivu, carelessness, unprofessional, na kila kitu madharau.

Ukweli ni kuwa vyama vyote vya siasa hapa TZ vina matatizo ya ndani, na kila chama kinajifanya wajuaji na hawana matatizo. Hata CCM kuna mzozo mkubwa.

Chadema wacheni kiburi , bado mnahitajika sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ramli zinapigwa navijana wa Lumumba ,,,,Maaana kubenea Alipewa Tindikali na ccm alafu tena ajiunge na ccm.
Watu wanaamini hivyo kwakuwa ingekuwa vinginevyo policcm wasengeruhusu mkusanyiko, wangesema kuna corona
 
Back
Top Bottom