Siasa za madaraka, vyeo na salio haziwezi kuleta matokeo yoyote ya maana. Hili tumelieleza na kufafanua mara nyingi. Kwa bahati mbaya bado ni kundi dogo tu ambalo linaelewa na kukubaliana na ukweli huu.
Kama motive kwenye siasa ni cheo, ni sahihi mtu kufanya matendo yatakayompatia cheo kikubwa Zaidi. Kama motive ni madaraka, ni sahihi mtu kufanya kitendo kitakachompa madaraka Zaidi. Kama motive ni salio, ni sahihi mtu kufanya kitendo kitakacho mpa salio Zaidi.
Hiyo haitajalisha uzuri, ubaya au madhara ya kile akifanyato mtu bali 'motive'.