Ila lazima tutambua kwa siasa za aina hii ni vigumu kwa nchi yetu kupiga hatua kimaendeleo.Walioshiriki kuwatenganisha Mbowe na Zitto wamemaliza kazi sasa wanaondoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Chakubanga anasemaje?Mbona Mangula mmemsahau Tangia apewe sumu atujapata Update zake.
Ahaaa. Upepo umebadilika.....Ninyi nanyi mnatuchosha bhana. Hizi ni nyakati za kupambana na Corona sii kufanya siasa.
Na nyie waandishi muulizeni huyo Kubenea wamemuweka wapi Ben, maana kuna wakati alidai anajua alipo!
Magazeti yake ya UpupuHajafanya tu press yake,na kama anahama basi tutegemee lawama kama vile.
"Nilishinikizwa kujiengua nafasi ya Makamu Mwenyekiti bara"
Hayo magazeti yake bila shaka yatakuwa huru sasa kutuambia vitu ambavyo alikuwa hawezi kuvisema akiwa ndani ya chama.
Jamani musiharakishe kumshutumu kwamba atahama labda anataka kusisitiza Chadema iwe imara ashikwe na kwenye Camera.
CDM na upinzani kwa ujumla utakaaje imara wakati vimekabwa na vyombo vya dola na CCM imejificha kwenye hivyo vyombo?Ahahahahaaaaaa imagination zinalazimishwa ziwe uhalisia, kwann tusijikite kuutafuta ukweli ndiyo tuuweke hadharani......... Itatusaidia maana vinginevyo tutakuwa sawa na uncivilized people ambao zamani walikuwa wakiumwa malaria wanasema jirani kamloga bila kushugulika na mbu anayeeneza malaria. Chadema na upinzani kwa ujumla swala la watu kuhama chama ni tafsiri kuwa Kuna vitu haviko sawa ndani yenu na Mara nyingi wanaoondoka wanaeleza mengi yaliyokuwa chini ya kapeti ambayo kama wahusika tungeyafanyia kazi bila shaka tungejikwamua hapo kuliko kila leo kumuona CCM ndiye mbaya wetu namba moja, vinginevyo kama imani hiyo itaendelea CDM na upinzani kwa ujumla hautakaa kuwa imara hata siku moja.
yani matatizo yenu mnawasingizia ccm..CDM na upinzani kwa ujumla utakaaje imara wakati vimekabwa na vyombo vya dola na CCM imejificha kwenye hivyo vyombo?
Ndugu Halaiser, unajua watanzania wengi kinachotirudisha nyuma na kushindwa kutimiza malengo yetu, ni uvivu, carelessness, unprofessional, na kila kitu madharau.Mkirindi, Chadema ni imara na bado itaendelea kuwa hivyo Mkuu. Tuko kwenye vita vya kisiasa hasa kipindi hiki tunakoelekea uchaguzi mkuu oct. 2020. Hivyo lazima kuwepo makapi na ngano halisi.
Upepo unapovuma majani mengi hupukutika na mengine kubaki kwenye mti. Je ni kosa la mti?? Ondoa hofu majani mengine yatachipua na maisha ya mti kuendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaamini hivyo kwakuwa ingekuwa vinginevyo policcm wasengeruhusu mkusanyiko, wangesema kuna coronaHizi ramli zinapigwa navijana wa Lumumba ,,,,Maaana kubenea Alipewa Tindikali na ccm alafu tena ajiunge na ccm.
Mwakyembe alipewa sumu na nani na sasa yupo na naniHizi ramli zinapigwa navijana wa Lumumba ,,,,Maaana kubenea Alipewa Tindikali na ccm alafu tena ajiunge na ccm.
Duuuuu! Unanikumbusha marehemu 6
Sasa tangu lini mwenye chama anafukuzwa? Na anafukuzwa na nani?Huyu Mbowe kwa nini asifukuzwe jamani? Gia zake za angani zinaua chama kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app