Mbunge wa Ujerumani ataka kufukuzwa nchini humo jeshi la US

Jukumu la UN unalijua?
 
Hii habari ni uwongo na ina mrengo fulani ya kuonyesha kwamba Russia wana ushawishi, Germany sio Tanzania ndege za kivita za Euro fighter jet ni mkono wa mjerumani...
Ujinga wako ni kwamba hujui mara zote ujerumani alishindwa Vita ni baada ya kuchangiwa na dunia nzima. Hakuna nchi ingeweza kumpiga mjerumani one on one. Rudi darasani ukasome dogo
 
Kwenye nchi yenye uhuru wa Mawazo hilo siyo jambo la kushangaa! West ni tofauti kabisa na Russia ambapo mtu akipinga kauli/mawazo ya Puttin anachinjwa au rupango maisha. Na ndiyo maana ya bunge la vyama vyenye maono tofauti
Ndugu Kila nchi inazo taratibu zake na Kila utaratibu una historia yake Kwa hiyo siyo Kila liamuliwalo nchi x lifanane na nchi Y mfano; kule zenji ukila hadharani wakati wa mfungo unaweza pigwa sana na anaekupiga anaweza kuwa shoga na ametoka Kwa Basha ake mara nyingi mizee flani yenye pua kubwaaa kama jagi Lina mke hata mitala lakini ukisikia limechepuka ujue ni Kwa mashoga, sasa utasema huge huu utamaduni?
 
Kwani msipojitoa ufahamu na mkatumia akiki yenu kwa uhuru mnakufa? Una uhakika Ukraine ndiye anayeitetea Kiev?
 
Mkuu mbona unatoa mfano mfuu, suala la kulinda na kutetea sheria za kimataifa na mwizi wa bata wapi na wapi?
 
Ujinga wako ni kwamba hujui mara zote ujerumani alishindwa Vita ni baada ya kuchangiwa na dunia nzima. Hakuna nchi ingeweza kumpiga mjerumani one on one. Rudi darasani ukasome dogo
Na wewe umepuyanga
Huyo ujerumani hakusimama mwenyewe alikuwa na alliances pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…