Pre GE2025 Mbunge wa Ushetu apiga magoti kuomba maji ya ziwa Victoria. Waziri amjibu "Samia ametoa pesa mkandarasi anakuja"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama huna maarifa utaishia kuwa mpumbavu.

Kwa hiyo maji yasipoletwa na kipaombele kikapelekwa kwingineko utafanyaje wewe mwenye Akili?
Maana ya budget ni nini? watu wajinga kama nyie ndiyo mnarudisha nyuma kama taifa, usifanye maendeleo ya wananchi kuwa hisani, ndiyo maana kuna bunge la budget wanakaa kufanya nini kama maendeleo ni hisani ya Samia? miaka yote alikuwa wapi kuleta maendeleo amesubiri amekuwa Rais ndiyo anatoa fedha? fedha ni kodi zetu hata angekuwa Lipumba lazima angepeleka maji. Shame on you
 
Budget inatisha kwamba Kila sehemu watapata wanachohitaji?

Ndio maana nasema wewe ni mjinga,bila maarifa utaishia hivyo hivyo
 
Labda mumeo ataishia hivyo, kwamba maji yanapelekwa kwa hisani na hayapo kwenye mpango wa budget? mjinga sn wewe ukute una masters lakini huna akili, vitu vyote vinatakiwa viwe kwenye mpango wa budget na siyo kwa utashi wako au wa mtu yoyote, nimekuuliza bunge la budget linakaa kufanya nini pale Dodoma miezi 3?
 
Atueleze jinsia yake ili watu wajue wanafanya mjadala na nani!
 
Back
Top Bottom