Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana ya budget ni nini? watu wajinga kama nyie ndiyo mnarudisha nyuma kama taifa, usifanye maendeleo ya wananchi kuwa hisani, ndiyo maana kuna bunge la budget wanakaa kufanya nini kama maendeleo ni hisani ya Samia? miaka yote alikuwa wapi kuleta maendeleo amesubiri amekuwa Rais ndiyo anatoa fedha? fedha ni kodi zetu hata angekuwa Lipumba lazima angepeleka maji. Shame on youKama huna maarifa utaishia kuwa mpumbavu.
Kwa hiyo maji yasipoletwa na kipaombele kikapelekwa kwingineko utafanyaje wewe mwenye Akili?
Ni mambo ya hovyo snHilo ni lako mimi naona hajafanya chochote zaidi ya kuimbiwa nyimbo ambazo yeye hazipendi kuzisikia maana anajua anaingizwa chaka na machawa ili hali ana kazi kubwa mbeleni!
Budget inatisha kwamba Kila sehemu watapata wanachohitaji?Maana ya budget ni nini? watu wajinga kama nyie ndiyo mnarudisha nyuma kama taifa, usifanye maendeleo ya wananchi kuwa hisani, ndiyo maana kuna bunge la budget wanakaa kufanya nini kama maendeleo ni hisani ya Samia? miaka yote alikuwa wapi kuleta maendeleo amesubiri amekuwa Rais ndiyo anatoa fedha? fedha ni kodi zetu hata angekuwa Lipumba lazima angepeleka maji. Shame on you
Labda mumeo ataishia hivyo, kwamba maji yanapelekwa kwa hisani na hayapo kwenye mpango wa budget? mjinga sn wewe ukute una masters lakini huna akili, vitu vyote vinatakiwa viwe kwenye mpango wa budget na siyo kwa utashi wako au wa mtu yoyote, nimekuuliza bunge la budget linakaa kufanya nini pale Dodoma miezi 3?Budget inatisha kwamba Kila sehemu watapata wanachohitaji?
Ndio maana nasema wewe ni mjinga,bila maarifa utaishia hivyo hivyo
Atueleze jinsia yake ili watu wajue wanafanya mjadala na nani!Labda mumeo ataishia hivyo, kwamba maji yanapelekwa kwa hisani na hayapo kwenye mpango wa budget? mjinga sn wewe ukute una masters lakini huna akili, vitu vyote vinatakiwa viwe kwenye mpango wa budget na siyo kwa utashi wako au wa mtu yoyote, nimekuuliza bunge la budget linakaa kufanya nini pale Dodoma miezi 3?
Samahani sijui wewe ni jinsia gani tutambuane!Wewe hater unakosoa au unaoinga maendeleo? 😁😁
Ni mama wa makamoAtueleze jinsia yake ili watu wajue wanafanya mjadala na nani!
Taifa lina watu wajinga kama hawa etiMbona neno chuki unalipenda sana unaakisi udhaifu wako ulipo dunia hii ukweli unakuweka wazi kuchanganua vitu sio lazima wote wafuate mkumbo wako hata kama unawaingiza chaka!
Ahsante basi sipati tabu tena!Ni mama wa makamo
Namfahamu sn nimekutana naye mara kibaoAhsante basi sipati tabu tena!
Kuna magumu mengi nimempuuza!Namfahamu sn nimekutana naye mara kibao
Naunga mkono hojaNchi imejaa wabunge wajinga kama huyu unategemea maendeleo yatatoka wapi? maji ni kodi za wananchi na siyo hisani ya Samia
Kila kitu kimegeuzwa kuwa ni hisaniNaunga mkono hoja
Inasikitisha sana skuizi paka timu ya Taifa inataka hisani hii nchi ni ya hovyo sanaKila kitu kimegeuzwa kuwa ni hisani
Ukiongozwa na kilaza lazima na wewe uwe kilazaInasikitisha sana skuizi paka timu ya Taifa inataka hisani hii nchi ni ya hovyo sana
Inasikitisha sanaUkiongozwa na kilaza lazima na wewe uwe kilaza