Mbunge wa Uturuki afariki siku mbili ya kuanguka tangu aliposema "Israeli watapata ghadhabu ya Mwenyezi Mungu""

Mbunge wa Uturuki afariki siku mbili ya kuanguka tangu aliposema "Israeli watapata ghadhabu ya Mwenyezi Mungu""

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Hasan Bitmez alipata heart attack akiwa bungeni anatoa hotuba ya kuilaani Israel.
---
Turkish Health Minister Fahrettin Koca announces the death of lawmaker Hasan Bitmez, local media reports, two days after he collapsed in parliament, suffering a heart attack at the end of a livestreamed parliamentary speech in which he slammed Israel and said it wouldn’t be able to “escape the wrath of Allah.”

Hasan Bitmez, 53, of the conservative Felicity Party, delivered an address at the General Assembly of the Turkish parliament, ending it by saying that “we can perhaps hide from our conscience but not from history,” and by addressing the Jewish state: “You will not escape the wrath of Allah.”

He then said, “I salute you all,” immediately before collapsing to the ground at the podium, with his head hitting the floor.
 
Niko pale nawasubiri wazee wa "lile ni taifa la Mungu" na comment zao juu ya hili
 
Hawa wafuasi wa mudi gay hawataki kujifunza kuhusu Israel
Watapoteana kila siku, wengine wanauana wenyewe kwa wenyewe miaka nenda rudi kwa kupishana dhehebu tu.
 
Kuna watu wanaweza wakaamini huo uzushi. Ila ukweli ni kwamba huyo Mbunge alishakuwa na matatizo yake ya kiafya ya muda mrefu.

Kwa hiyo hizo hasira zake za kuwalaani Mayahudi kwa ukatili wao kuke Gaza, ni kama zimechangia tu kumsababishia hilo shambulio la moyo, na pia hicho kifo.
 
Sisi tunaendelea na kichapo, naona wayahudi weusi hamjui cha kufanya sasahivi, vifo vya wanajeshi wa kizayuni vimewachanganya kweli kweli 😄
Hapana, vifo vya wanawake na watoto waliotelekezwa na Hamas na kutumiwa Kama ngao ya Vita ndio vinatuchanganya zaidi
 
Hata wale wenzetu wa mfenesini, mbuyuni na mjohoroni tukiwaambia israel si ya kuchezea wawe wanatuelewa
Ndio maana nime kuambia kuwa huna sifa za kuwa mwalimu ,kwahiyo na ww una amini kuwa amekufa kwa sababu ya kuikosoa Israel? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hiyo ww utaishi milele kisa unaihusudi Israel ?
 
Back
Top Bottom